lumimwandelile
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 308
- 286
wanaume ndio tabia yao wote ni malaya tu. we olewa nae ila kaa ukijua kuwa ni malaya na hata ukisafiri atalala na housegirl wako. maana hata ukisema uachane nae utakayempata mwingine nae ni kama huyo. wanaume wote huwa hawaridhiki.
hata mkitoka kufanya mapenzi sasahiv, akikutana na mwanamke mwingine atamtongoza na atafanya nae mapenzi muda huo huo.
hata mkitoka kufanya mapenzi sasahiv, akikutana na mwanamke mwingine atamtongoza na atafanya nae mapenzi muda huo huo.