Monny Justine
Member
- May 23, 2021
- 7
- 2
Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
Asee Nacte wanashughulika kumbe,na hizo password ka umesahau wanakupatia,Hili tatizo lina mtesa sana Mdogo wangu
Afike nacte kila kitu kinaenda aniHili tatizo lina mtesa sana Mdogo wangu
DaaahPole sana, hapo uwezekano wa kudahiliwa degree haupo. Cha kufanya soma upya Diploma kwenye chuo kinachoeleweka.
Wakuu naombeni msaada.
Zaidi ya mwezi nafuatilia AVN lakini hakuna mabadiliko, lila nikirequest naambiwa bill generated waiting for control number.
Nimeishazunguka sana pale NACTE ila hakuna ufumbuzi wa tatizo. Hadi watu wa GePG nimewapigia Nawao wanasema hii ni kwao NACTE wala wao hawahusiki.
Sijui nifanyeje ili niweze kuendelea na masomo japo siku za kuapply zimebaki chache.
Kama kuna mtu anaweza kunisemea ili nisaidike nitashukuru sana
View attachment 1911374
Kama upo Dar/Karibu na Dar fika ofisini kwao, hawa watu wanahitaji kufuatwa huko ndipo utatuliwe shida yakoWakuu naombeni msaada.
Zaidi ya mwezi nafuatilia AVN lakini hakuna mabadiliko, lila nikirequest naambiwa bill generated waiting for control number.
Nimeishazunguka sana pale NACTE ila hakuna ufumbuzi wa tatizo. Hadi watu wa GePG nimewapigia Nawao wanasema hii ni kwao NACTE wala wao hawahusiki.
Sijui nifanyeje ili niweze kuendelea na masomo japo siku za kuapply zimebaki chache.
Kama kuna mtu anaweza kunisemea ili nisaidike nitashukuru sana
View attachment 1911374
Nishaanza sana tu.Anza upya,
Nimeishaenda mara kadhaa lakini sikupata ufumbuzi.Kama upo Dar/Karibu na Dar fika ofisini kwao, hawa watu wanahitaji kufuatwa huko ndipo utatuliwe shida yako
Anza upya halafu kwenye namba ya chuo usiandike andika NS... ikifuatiwa na namba ya fom 4
Mf. NS1234/0000/0000
Unamaanisha nianze upya kulogin au.?Anza upya halafu kwenye namba ya chuo usiandike andika NS... ikifuatiwa na namba ya fom 4
Mf. NS1234/0000/0000