username

A user is a person who utilizes a computer or network service. Users of computer systems and software products generally lack the technical expertise required to fully understand how they work. Power users use advanced features of programs, though they are not necessarily capable of computer programming and system administration.A user often has a user account and is identified to the system by a username (or user name). Other terms for username include login name, screenname (or screen name), account name, nickname (or nick) and handle, which is derived from the identical citizens band radio term.
Some software products provide services to other systems and have no direct end users.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Whatsapp imestopisha huduma ya username nchini India

    Sijajua kuna nini. Hii huduma imeanzishwa juzi tu badala ya kutumia namba ya simu sasa unaweza kutumia username. Kumbukeni India kuna wataalamu wengi swala la IT na scammer wengi wapo India. Au wameanza kutumia username zitakazo tapeli.
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

    Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it? Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa? Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  5. Zee la Masonko

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  6. msaranga1

    JamiiForums Tanzania Msaada format ya username kwa Non Necta apllicant HESLB

    Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990. Je ya Non Necta ikoje?
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Namna ya kubadili Email humu na Username (ID)nahisi Kuna mtu kadukuwa Account yangu.

    Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie. Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
Back
Top Bottom