Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Ukielewa tabia ya nyoka utaweza kuepukana naye, nyoka hutembelea maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutafuta maji ya kunywa, hivyo, weka chombo chenye maji nje ya nyumba yako, watakuja wengi kunywa maji na kuondoka. Ukitaka kuwakamata unaweza piaWaungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka.
Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona.
Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week mbili.
Hii nyumba niliyopanga ni mpya, mlangoni kwenye chumba changu nimepanga na dekio la taulo ili kuzuia vumbi, chooni sioni possibility ya kupitia huko!
Dirishani ambapo ndipo kitanda kilipo huwa nafungua dirisha ila Kuna Mosquito net, je Nyoka anaweza kupanda ukuta aingie ndani? Maana nawakuta jirani tu na kitanda.
Haka ka Leo kalikua chini ya kiti, yaani wakati Niko kwa laptop nafanya kazi kumbe huyu mpuuzi yuko chini ya kiti.
Anyway, nisaidieni namna ya kuwamaliza kabisa, waache ujinga wao wa kuibuka usiku.
Wamenikata stimu kabisa, halafu wakati nakaua ghafla Tanesco wakakata umeme! Ila ukarudi faster.
Nje mazingira ni masafi maana ni mashamba, majirani zangu hawaja experience kiti kama hiki!
Ila Mimi nndio ishanitokea twice. Nipeni Dawa Wakulungwa.