jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,704
- 7,581
Kuna Demu aliniambia kaachika,lakini kila nikienda kumgonga nikufudi home tu usiku nikiwasha tu taa lazima nikutane na nyoka wadogo wawili,mmoja anakua anatembea zake varandani kuelekea chumbani,na mwingine namkuta tahari yuko chumbani karibu na Kitanda! Ilinitokea Kama Mara tatu hivi, nikaamua kumtema yule Demu kimyakimya bila yeye kujua!! Duniani kuna mengi,sema tu Mungu anatulinda sana!!Hiyo itakuwa michezo ya baba mwenye nyumba kutaka kukupima kama uko fit. Kama hujang'atwa na hawa nyoka mpaka sasa basi uko fit, we endelea tu kula watoto wa watu huko.