Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

sankara25

JF-Expert Member
Aug 19, 2022
389
785
Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
 
Wakuu mambo vp nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
Kama fundi wako hana sample ya kazi zake una uhakika ukipata picha ataweza kutengeneza kama inavyopaswa?
Au simu hana mbona atakuwa yuko ulimwengu wa peke yake kikazi...
 
Kama fundi wako hana sample ya kazi zake una uhakika ukipata picha ataweza kutengeneza kama inavyopaswa?
Au simu hana mbona atakuwa yuko ulimwengu wa peke yake kikazi...
Ataweza jamaa yupo vizuri san ila kinachomharibia ni stareh yake anatumia mihadarati yaan hafanyi kaz kama hajavuta unga icho ndo kinachomrudisha nyuma amesha disigne mrocho kesh tukijaliw anaanza kujenga ukikamilik nitakuja kutupia pic apa
 
Ataweza jamaa yupo vzr san ila kinachomharibia ni stareh yake anatumia mihadarati yaan hafanyi kaz kama hajavuta unga icho ndo kinachomrudisha nyuma amesha disigne mrocho kesh tukijaliw anaanza kujenga ukikamilik nitakuja kutupia pic apa
oky vzur...
 
Hizi ni baadhi mkuu.

IMG_20220701_101911.jpg
IMG_20220626_145620.jpg
IMG_20220626_145641.jpg
IMG_20220626_145353.jpg
 
Back
Top Bottom