Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

godknows

Member
Apr 7, 2016
28
42
Salaam wakuu!

Sisi sote ni watanganyika na wazanzibari tunaoishi kwa kupendana kwa kudumisha udugu wetu.

Naomba mwenye sample ya andiko la mrad wowote anisaidie.

Kama mtanganyika nahitaji kuandaa andiko langu ili niweze kujitafutia walau riziki yangu.

Naomba msaada tfadhali.
 
Social initiative mkuu
Utapata funding kweli kwa style hiyo? Ninayo mengi sana kuwa specific una lenga sekta gani na je ni profit making or non profit making project idea.
Ndo mana nikauliza ila ni non-profit. Mana mradi wa kibiashara lazima uandike mpaka profit inakujaje per unit!. Although ukiwa specific itapendeza sana. Public health au Empowerment issues.
It's better pia ukawa na strategic plan least simplest template. Very short.
Mradi una components kadhaa
Ila ukitengemeza kwanza conceptional plan/ note ndo vitu vingine vinakaa sawa. Can you imagine?
From imagination into reality
 
Nina concept note ya economic empowerment kwa watu wenye ulemavu utokanao na ukoma. If interested
 
Nahitaji kuempower vijana waliokata katamaa hasa wale waliomaliza vyuo na wamekosa ajira.
Nisaidie mkuu sina idea yoyote ndo mana nimekuja jukwaani kuomba msaada
 
At least umeanza kuwa specific. Je hiyo Empowerment ni kwa strategy ipi unawaza, kuwapata mitaji? Kuwapa connections za ajira? Kuwaunganisha na shughuli za kilimo? Kuwapa ushsuri wa kisaikolojia?

Najaribu kukudodosa hivi ili nopate picha namna ya kufanya. Na je una donor tayari ambae anahitaji au andiko litatafuta donor. Ukinijibu haya ni swala half a day nakutolea kitu cha kuanzia maana kwa sasa sina kazi nipo tuu mtaani na hayo ndio mambo yangu.
 
Hapa ni kuwapa ushauri wa kisaikolojia na kuwapa awards kwa wale ambao wamejituma kufanya kazi ili kuwainspire wengine.
 
Back
Top Bottom