Lodge za Mtwara Mjini

Lodge za Mtwara Mjini

Kuna lodge inaitwa Eden ipo stand mpya mtwara ni nzuri sana ila fanya booking mapema... Nicheki Dm nikupe namba zao
 
  • Thanks
Reactions: apk
o

ingekuwa masasi ningeweza kuwa na jibu, ama liwale.

ila siku hizi simple sana , ukishuka stand uliza boda bods watakupa info za kutosha.
Hebu nipe abc za liwale loji ipi nzr na bei zake
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna Lodge ipo Mtaa wa Indian Quarters jirani na Shangani Secondary. Ni mpya with all amenities you need.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom