STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,279
- 6,848
Wenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo Mjini kati, Bajeti yangu kwa Lodge au Hotel ni 30k - 50K,
Ila kama hali ya kupata hifadhi nzuri (Lodge nzuri) itakuwa ngumu, hata Lodge ya 15k - 20k sio mbaya jambo la msingi iwe na maji moto tu😁
Nakuja Njombe kwa ajili ya Mei mosi na Utalii. Nitakuwa Njombe siku mbili then nitaingia Makete - Kituro National Park