ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,362
- 118,739
Inabidi nikutoe huko uje ukae sehem hazina vyura mkuuHuku niliko mvua ikinyesha vyura huwa ni kero kulia Sasa hapo kwako nakuonea huruma aisee.

Inabidi nikutoe huko uje ukae sehem hazina vyura mkuuHuku niliko mvua ikinyesha vyura huwa ni kero kulia Sasa hapo kwako nakuonea huruma aisee.

Kwani chura makazi yake wapi? Uwaandalie makazi halafu ulalamikeWana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.



Tumbukuza kambale aliye hai humo atawala wote nature inakua ime solve tatizo



Hahaaaa itapendeza Sana my dear vyura kero mto ukifurika tu Ni shida.Inabidi nikutoe huko uje ukae sehem hazina vyura mkuu![]()
Atawachinja wakati wa Ijumaa Kuu ya Pasaka.Halafu anawatoa tena au anawaacha?
Hii ndio point ya kwanza kwenye huu uziTumbukuza kambale aliye hai humo atawala wote nature inakua ime solve tatizo
Yanga wamevamia visima vya watu.
Vipi hao samaki wakinyea kisima si hatari kwa afya?Fuga tu Samaki Mkuu, hao Vyura watageuzwa Chakula Asubuhi tu.
Akiweka Sato hatayatumia tena hayo maji maana litageuka kuwa bwawa la samaki. Sato wana tabia ya kuzaliana kwa haraka hivyo watajaa kwenye hicho kisima, pia sina uhakika kama Sato ataweza kuwameza vyura wakubwa. Bora atupiemo Kambale.Ata akiweka sato wa 5 wakubwa kiasi wanauwa vyura wote
Asiweke tu wanaozaliana,mono sex fresh,maana hao wakizaliana itakua balaa apo ,kenge nae ataingiaAta akiweka sato wa 5 wakubwa kiasi wanauwa vyura wote
😂😂😂unamaanisha chura hawa hawa? au chura
kwenye tuta
Kambale ata ukichanganya jinsia Haina tabu,hawawezi zaliana kwenye icho kisima,wataishia kugongana tu,ukikosa hao kambale nicheki pmNatafuta madume mawili, sichanganyi jinsi maana unaweza solve tatizo la chura ukaweka tatizo la kambale
👍Mbona maji ya ziwa tunayatumia na huku ziwani kumejaa samaki? Watafute wataalam wa maji wakufundishe namna ya kutibu maji kwa kutumia njia za flocullation na coagulation
Afya ya nani?Vipi hao samaki wakinyea kisima si hatari kwa afya?