mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,054
Polee mkuu,uwazoee tuh wadau Wa umu.Majibu ya wadau hadi nachoka, Asanteni kwa ushauri wenu, kwanza ntatia kambale pia ntaweka mfuniko
Polee mkuu,uwazoee tuh wadau Wa umu.Majibu ya wadau hadi nachoka, Asanteni kwa ushauri wenu, kwanza ntatia kambale pia ntaweka mfuniko
Tumbukiza samaki uwafuge watakusaidia kula mayai ya vyura hivyo kuwapunguza.Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
Kabla ya hayo yote atafute vijana watoe maji yote, wamsafishie kisima.Mkuu, huenda hilo shimo/kisima chako umekijenga bila kufuata kanuni zake. Kisima/shimo la maji safi ni muhimu kulifunika ili wadudu wasiingie, ni muhimu pia kuhakikisha mwanga wa jua haupenyezi ili maji yasiharibike haraka(pamoja na kwamba unaweza kuweka dawa).
Hakikisha umefunika hilo shimo/kisima, hakikisha halipitishi mwanga wa jua lakini pia hakikisha unatumia dawa kwa ajili ya kuyatibu maji. Hutapata shida, utayatumia maji yako kwa matumizi yoyote, hata kama ni maji ya mvua.
Utaweka kambale wangapi? Naona umeshapata fursa ya kufunga kambale.Majibu ya wadau hadi nachoka, Asanteni kwa ushauri wenu, kwanza ntatia kambale pia ntaweka mfuniko
Hakika family friend! Afanye hivyo!Kabla ya hayo yote atafute vijana watoe maji yote, wamsafishie kisima.
Kama hajakijengea wakijenge kabisa.
Ata akiweka sato wa 5 wakubwa kiasi wanauwa vyura woteUtaweka kambale wangapi? Naona umeshapata fursa ya kufunga kambale.
Halafu anawatoa tena au anawaacha?Ata akiweka sato wa 5 wakubwa kiasi wanauwa vyura wote
Good adviceTumbukuza kambale aliye hai humo atawala wote nature inakua ime solve tatizo
Tumbukiza jezi ya Yanga, Wataingia wote humo.
Utawakamata kiurahisi



Natafuta madume mawili, sichanganyi jinsi maana unaweza solve tatizo la chura ukaweka tatizo la kambaleUtaweka kambale wangapi? Naona umeshapata fursa ya kufunga kambale.
Yeye mwenyewe ila nao wana kunya na kukojoa pia maji yatakuwa na uchafu maana watahitaji chakula! Kwaiyo njia hii sio Sahihi!Halafu anawatoa tena au anawaacha?
Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
waite yanga/ utopolo waje wawasajili wawapeleke pale jangwaniWana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
da mkuu utakuwa mtu wa ajabu sana wewe sikuhizi watu hawapendi samaki wanataka chura weweunawaogopa?Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
Mkuu kunywa tu utakuwa unakula na mayai ya chura huoni faida hiyo..?
Kama huwataki si uanze kuwaloa kwani hukuchukuaga zile net za msaada toka marekani..?


