Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Mkuu wasukuma wanapenda juice kweli? Kuna sehemu nlikuwa naendaga kunywa juice ya miwa bt jamaa hakudumu alibadiri gia angani akanambia inampa shida kidogo biashara hyo
Kule majira ya joto yanachukua muda mrefu juice inanyweka

Huyo kuuza juice ya miwa isingekuwa rahisi kulipa sababu miwa wanayo wanashinda nayo wanaila mpk basi sio rahisi tena aje kununua juice ya miwa
 
wanasukuma tunakula miwa siyo juice ya miwa aha ha aa akiuza miwa sawa, jiuce akuza dare salaama
 
wanasukuma tunakula miwa siyo juice ya miwa aha ha aa akiuza miwa sawa, jiuce akuza dare salaama
Nimekuelewa ngosha, hata mikufu mnavaa ya dhahabu za kariakoo na kariakoo wanavaa mikufu ya dhahabu za katoro
 
Katoro ni mji unaopakana na sehemu zenye population kubwa ya watu Geita, buseresere na chato hivyo kuna uhitaji mkubwa wa hotel za gharama nafuu kwa watu wanaotoka mikoa mbalimbali wakisafiri kuelekea bukoba au kwenda kuchimba madini nyarugusu hata geita
Asilimia kubwa ya wakazi wa geita hutegemea kupata mahitaji kwa gharama nafuu kutoka katoro mimi ni mmoja wa watu niliobahatika kufanya kazi mkoa huo na kufanya biashara ya kuuza nguo za aina zote bidhaa zote nilikua nikizifata katoro
Ubuyu mtamu mkuu. Je kwa kupiga chench nzuri nguo znafaa
 
N.a. akioa watu wana ligi za kuchapiana wake zao hata watoto asee
Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuata
 
Yaaap wako hivyo. Bora ingekuwa kijjn uwapeleke shamba ASA mjini ni shida
 
Biashara za Katoro zimebakwa na wanyantuzu hawa ni wasukuma Wa bariadi.
Ananunua kitu cha 10000 anauza 10500.
Faida zao ni buk....hero...ikizidi sana buk 2.
Wana ushindani Wa kupush MZIGO...... Uingize mpya. Wachaga walikimbia. Naona kuna m1 anasupply uji na tambi.(superghet).

Walevi tupo sana bila warembo huuzi.
Ngono zipo njenje. Ni noma.

Vyakula simple....bei simple..... Wali sangara mzima kwa buku 5 tu. Unapata Katoro......
Samaki mbich had za buk zipo na mnakula vizuri.

Kwa upande Wa mafundi ndo wanakula vizuri maana wanapiga sana noti..... Karibu
 
Biashara ya dhahabu ni nzuri sana ila inategemea unataka kuwa Nani.?
Mnunuzi mkubwa ?
Mnunuzi Mdogo?(kota,broka)
Mdhamini wa migodi (madura)
Uwe unakodisha vifaa vya uchimbaji. Kama pump...copresa....
Mambo ni mengi sana hukosi cha kufanya
 
Ninachoipendea Katoro INA population kubwa sana na inakuwa kila siku.
Ukiwa na mtaji hulali njaa.

Bidhaa unaipata kwa being chee kama kwa mchina
 
Uku cheap Sana sijawai kujua ni kwanini
Wanauza kwa mashindano.
Hawaangalii faida kubwa.
Na miaka ya nyuma mali zilikuwa zinatoka Uganda na zote ni magendo hazina kodi hata 1. Ndo wkajenga kituo cha police Katoro.
Watu wanauza mzigo uishe.

Jimla rejareja lama ziko sawa tuuu.
Wanatumia sana ndumba chunga sana
 
Mkuu kama ni biashara wapelekee nguo mkuu za shop kakusanye pale kariakoo wanazomwaga chini kule wanauza bei nzuri sana, visendo vya wadada mikufu ya dhahabu ya kariakoo,
Mkuu unataka kusema ukifungua duka la nguo linalipa sana? Na mabasi yapo ya moja kwa moja kutoka dar na nauli kiasi gani mkuu?
 
Kule majira ya joto yanachukua muda mrefu juice inanyweka

Huyo kuuza juice ya miwa isingekuwa rahisi kulipa sababu miwa wanayo wanashinda nayo wanaila mpk basi sio rahisi tena aje kununua juice ya miwa
Dhahabu zipo nyingi mkuu?
 
Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuata
[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom