Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

kapeace vp hii Ishu inatoka huko ama
f5b5394628842db8645e3178ba1f092c.jpg
 
Maduka ya hivyo yapo mengi mno katoro simshauri afanye hiyo biashara kuna biashara za kihuduma

Kuna fursa ya kuuza juice ya matunda Hii hakuna mtu anaeifanya pale katoro nilikosa usimamizi tu
Good consult mama

Kp nakuelewa sana

Mim napenda hasa biashara za daily needs mfano chakula, dawa, vifaa vya ujenz na umeme, even educ institution nimeipata leo idea nzur
 
Back
Top Bottom