namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Maduka ya vifaa vya ujenzi na simu vinalipa sana.
Mkuu kuhamia uko itakuwa ngumu maana nina ishu nyingine za kufanya DarNjoo fungua sehem ya kusaga Mawe. Mtaj around 20mil. Unaweka makarasha mawil ya kusaga.....mambo yakienda sawa unauza kufusi after 6months unaeza pata 100mil kutegemea na PP
Usimamizi tuu unawekaMkuu kuhamia uko itakuwa ngumu maana nina ishu nyingine za kufanya Dar
Pale ni pazuri SANA. No Kama kariakoo jinsi palivyochangamka . KALAHARI: Katoro ni ngome ya CHADEMAWakuu,
Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.
Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.
Je ni sehemu salama pia?
Asanteni.
[emoji1] [emoji1] ulishajaribu mkuu?Pia kuna waganga Wa kienyeji wanakupa dawa unaenda GGM bila kuonekana unachukua pure gold(matofali) uwezavyo na unatoka salama. Hizi hazina mashart ya dam wala kafara yoyote.
Nyota yako iking'aa unapewa
Usimamizi tuu unaweka.Mkuu kuhamia uko itakuwa ngumu maana nina ishu nyingine za kufanya Dar
Nyota mbovu[emoji1] [emoji1] ulishajaribu mkuu?
Usithubutu kuwaamini waganga UTAKUFA PALE GGM WAPO WALIOAMINI HIVO SASA NI MAREHEMUPia kuna waganga Wa kienyeji wanakupa dawa unaenda GGM bila kuonekana unachukua pure gold(matofali) uwezavyo na unatoka salama. Hizi hazina mashart ya dam wala kafara yoyote.
Nyota yako iking'aa unapewa
Marudio wanapeleka wapi Mkuu?60 hadi 65 mkuu
Hao walkuwa wabishi au wanalazimishaUsithubutu kuwaamini waganga UTAKUFA PALE GGM WAPO WALIOAMINI HIVO SASA NI MAREHEMU
Hao walkuwa wabishi au wanalazimishaUsithubutu kuwaamini waganga UTAKUFA PALE GGM WAPO WALIOAMINI HIVO SASA NI MAREHEMU
M20 ama M2?Njoo fungua sehem ya kusaga Mawe. Mtaj around 20mil. Unaweka makarasha mawil ya kusaga.....mambo yakienda sawa unauza kufusi after 6months unaeza pata 100mil kutegemea na PP
Mkuu ukitaka kuwa kota inabidi angalau uwe na mtaji wa sh.ngapi?,na ujuzi gani unahitajika?Biashara ya dhahabu ni nzuri sana ila inategemea unataka kuwa Nani.?
Mnunuzi mkubwa ?
Mnunuzi Mdogo?(kota,broka)
Mdhamini wa migodi (madura)
Uwe unakodisha vifaa vya uchimbaji. Kama pump...copresa....
Mambo ni mengi sana hukosi cha kufanya
Hapo Ndo umenena Sawa kabisaAnza kusafilisha dagaa itakufaa sana maeneo hayo kuleta mikoa yetu hapa kama moro, singida dom nk
Kumbe na huku kwenye ujasiriamali upo??Wafanyabiashara wengi wanaamini katika ushirikina ila katoro inakua kwa kasi ya ajabu
Hata 2 inatosha kuanzia japo utahangaika kdg.Mkuu ukitaka kuwa kota inabidi angalau uwe na mtaji wa sh.ngapi?,na ujuzi gani unahitajika?
Mwe mwe mweKama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuata
Mkuu karasha 1 lililokamilika ni mil7 ili urahisishe mwalo wako funga mawili mil 14. Hapo ni Mashine tuu.M20 ama M2?