Hamridhikagi wengine wanaolewa kusafisha nyota regardless interest zaoAmtulize sangara wake tu
Wasukuma wanapenda special ndo maana apate hela yake umuuzie mtumba thubutuuuJambo jingine la kushangaza katoro vitu ni cheap sana kuliko sehemu yeyote especially nguo za mitumba viatu vya mitumba
Maeneo ya machinjioni, kp, igunga uliishi pand zip
Uku cheap Sana sijawai kujua ni kwaniniJambo jingine la kushangaza katoro vitu ni cheap sana kuliko sehemu yeyote especially nguo za mitumba viatu vya mitumba
MadiniUku cheap Sana sijawai kujua ni kwanini
Usiogope mkuu hizo story we njoo ukifika uku ndo utajua namna ya kuishi na kuendana na mazingira mengine unaweza usiyaoneMmmmh, uoe stress, washamberua berua hukoo mpaka.
Bidhaaa zozote iwe nguo viatu vifaa vya ndani hata accessoryMadini
Vipi samaki sato bado wapo hapo sokoni katoro?Hapan siyo y viuno I mean ngono nje nje naukiwa n bishara half haupo makini wengi wanaumia! Kwa hlo kingne nikuwa biashara katoro niyaushindani xn hawaangalii faida xn !
Kabisa umemjibu vizuri sie tunampa dondoo tu na tahadhali tuUsiogope mkuu hizo story we njoo ukifika uku ndo utajua namna ya kuishi na kuendana na mazingira mengine unaweza usiyaone
Mkuu kiatu cha mpira unanunua katoro elf 40k unakuja kuuza dar 150kUku cheap Sana sijawai kujua ni kwanini
Nimekuelewa mkuuAmna sijam@nisha ww, nasema io mitumba uko sitaitaka nataka kp
Wapo mkuuVipi samaki sato bado wapo hapo sokoni katoro?