Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Mkuu kama ni biashara wapelekee nguo mkuu za shop kakusanye pale kariakoo wanazomwaga chini kule wanauza bei nzuri sana, visendo vya wadada mikufu ya dhahabu ya kariakoo,
 
Vile vile unaweza ukaenda kwene migod midogo midogo ukaoshe marudio na kupiga ukware, unaweza kuwa mponjaji kwene maduara
Wew njoo apa nipe maujanja makinikia
 
Back
Top Bottom