Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Wakuu,

Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.

Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.

Je ni sehemu salama pia?

Asanteni.
 
Nenda Katoro kumekucha sana....tafuta mwenyeji wekeza hata kwenye madini kama una mtaji.
Enheee, mkuu naomba usitoke, tujuzane.

Tuanze na madini, vp changamoto zake, janja janja na utapeli vp

Siijui hio biashara, inahitaj uzoefu mkubwa?

Je, vp mtaj mdogo waweza anzia sh ngap

Vp faida yake inapatkana vp,
 
Biashara ya vifaa vya ujenzi inalipa xn yapo maeneo ambayo yanalipa zaid
 
Makazi yapo vzr xn vyumba vya kupanga gharama nafuu xn!! Lkn tahadhari ya magonjwa ndo inatakiwa uwe nayo coz muingiliano wa watu n wengi!!!
Sawa mkuu, labda bei za vyumba zinaanzaje,

Vipi magonjwa unazungumzia Yale ya viunoo...

Au ebola, tb nk
 
Back
Top Bottom