Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Katoro kuna biashara kubwa sana ya vipodozi,cha ajabu hata Mwanza na Dar wanafuata vipodozi Katoro wakati hakuna viwanda,bidha nyingi zilizokwepwa ushuru kwa 100% zinapatikana Katoro kwa bei poa sana,iwe vipodozi,urembo viroba etc na ndicho inafanya mji wa Katoro kukua kwa kasi sana wakati hakuna uzalishaji wowote,Siri kubwa ni kuwa pale ni hulb ya biashara za magendo kutokea Uganda na Kenya na pia ni soko kuu la transit goods baada ya Kahama.
 
Ulifataga nini uko katoro pale Mchana wanaume wengi kuliko wanawake ila ikifika jion wanawake wengi kuliko wanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] alah uwakbar
 
Katoro kuna biashara kubwa sana ya vipodozi,cha ajabu hata Mwanza na Dar wanafutata vipodozi Katoro wakati hakuna viwanda,bidha nyingi zilizokwepwa ushsuru kwa 100% zinapatikana Kataro kwa bei poa sana,iwe vipodozi,urembo viroba etc na ndicho inafanya mji wa Katatro kukua kwa kasi sana wakati hakuna uzalishaji wowote,Siri kubwa ni kuwa pale ni hulb ya biashara za magendo kutokea Uganda na Kenya na pia ni soko kuu la transit goods baada ya Kahama.
Ona sasa uzuri wa jf!!

Jaman naomba kujua mitaa ya katoro,
 
Back
Top Bottom