Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Hahahhaha nawapenda hawa kabila kubwa wanapenda san wageni.
Mkuu yani wakiona we una kafudhi tofauti na wao basi utapendwa mpaka basi ni shida afu kwa nn hawajiheshimu wale akina mayo wanagawa gawa tu khaaa
 
Mkuu yani wakiona we una kafudhi tofauti na wao basi utapendwa mpaka basi ni shida afu kwa nn hawajiheshimu wale akina mayo wanagawa gawa tu khaaa
Wakirundi au
 
Maduka ya hivyo yapo mengi mno katoro simshauri afanye hiyo biashara kuna biashara za kihuduma

Kuna fursa ya kuuza juice ya matunda Hii hakuna mtu anaeifanya pale katoro nilikosa usimamizi tu
Mkuu wasukuma wanapenda juice kweli? Kuna sehemu nlikuwa naendaga kunywa juice ya miwa bt jamaa hakudumu alibadiri gia angani akanambia inampa shida kidogo biashara hyo
 
Katoro ni mji unaopakana na sehemu zenye population kubwa ya watu Geita, buseresere na chato hivyo kuna uhitaji mkubwa wa hotel za gharama nafuu kwa watu wanaotoka mikoa mbalimbali wakisafiri kuelekea bukoba au kwenda kuchimba madini nyarugusu hata geita
Asilimia kubwa ya wakazi wa geita hutegemea kupata mahitaji kwa gharama nafuu kutoka katoro mimi ni mmoja wa watu niliobahatika kufanya kazi mkoa huo na kufanya biashara ya kuuza nguo za aina zote bidhaa zote nilikua nikizifata katoro
 
Back
Top Bottom