Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Mkuu unataka kusema ukifungua duka la nguo linalipa sana? Na mabasi yapo ya moja kwa moja kutoka dar na nauli kiasi gani mkuu?
Zipo takbir na zubery. Naul 45.
Biashara fresh ila Kubal faida kidogo.
Wana tabia ya kuchangiana kufata mzigo
 
Biashara ya dhahabu ni nzuri sana ila inategemea unataka kuwa Nani.?
Mnunuzi mkubwa ?
Mnunuzi Mdogo?(kota,broka)
Mdhamini wa migodi (madura)
Uwe unakodisha vifaa vya uchimbaji. Kama pump...copresa....
Mambo ni mengi sana hukosi cha kufanya
Mkuu nahitaji kuwa mnunuzi mdogo? Je upatikanaji wake sio kwa mda mrefu mkuu?
 
Duka la nguo uwe na mtaji mkubwa coz kuna maduka makubwa sana, basi la moja kwa moja lipo moja kwa wiki ni mara 3 kama sikosei
Je dhahabu zinapatikana kihuraisi kwa wanunuzi wenye mtaji mdogo?
 
Mkuu nahitaji kuwa mnunuzi mdogo? Je upatikanaji wake sio kwa mda mrefu mkuu?
Hapana uwe na cash muda wrote. Mzigo unakuja. Kama ni broker usikae Katoro. Zunguka migodini. Au senta zenye machimbo kama Rwamgasa... Nyarugusu.....
Hapo unanunua tuu scale.
Matapeli nao wapo wengi tuu kaa chonjo
 
Duuu we ngoni wewe rwamgasa, nyarugusu, magenge,buziba, ila huko vimigod vinaibuka kama uyoga.
 
Hapana uwe na cash muda wrote. Mzigo unakuja. Kama ni broker usikae Katoro. Zunguka migodini. Au senta zenye machimbo kama Rwamgasa... Nyarugusu.....
Hapo unanunua tuu scale.
Matapeli nao wapo wengi tuu kaa chonjo
Nitakuja kufanya utafiti mkuu ata na milion 2 ili nione mambo yanavyokuwa mkuu.
 
Mkuu kazi ya dhahabu sio rahisi kihivo, rejea kwa mushi92 unataka kua nan, gramu sa hiv ni kama elf sabini na ushenzi
Nina ka uzoefu mkuu ila kama zinauzwa kwa iyo bei nilipokuwa napeleka itakuwa hasara tu bora niende zangu kilindi, singida na iringa mkuu
 
Nitakuja kufanya utafiti mkuu ata na milion 2 ili nione mambo yanavyokuwa mkuu.
Njoo fungua sehem ya kusaga Mawe. Mtaj around 20mil. Unaweka makarasha mawil ya kusaga.....mambo yakienda sawa unauza kufusi after 6months unaeza pata 100mil kutegemea na PP
 
Back
Top Bottom