Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Pale pesa ipo ni ubunifu wako tu maana ni sehemu inayopokea wageni toka sehemu mbali mbali mikoani na nchi jirani buse pesa iko hata standards ya maisha ya wakazi inaridhisha
Nimepata idea mpya,

Kuwekeza kwe nye elimu
 
Pale pesa ipo ni ubunifu wako tu maana ni sehemu inayopokea wageni toka sehemu mbali mbali mikoani na nchi jirani buse pesa iko hata standards ya maisha ya wakazi inaridhisha
Asante mkuu, ubunifu ni mtaj mkubwa
 
Maana yangu ni hii "Fanya biashara zako rudi nyumbani, funga zipu yako kwa umakini mkubwa kaza kabisa, kama ni mlevi njoo ulewee geita"
Heheh mim nakunywa kdog ila najal kaz zaidi,

Kwakwel napenda biashara na uwekezaji, ufugaji,

Ulevi japo nakunywa ila nimeuharamisha kwang
 
Kila la kheri ukishafungua usisahau kureta mrejesho ila chunga pale kwa ngoma ni balaa makahaba wamejazana wakiona unangaa wanakutafuta hata kwa dawa
Nkienda napitia mahali, kapeace kasema nishike imani yangu

So msisi anieke sawa makahaba wasinisome. Lol
 
Mi nimekaa hapo kwa 4 yrs, ni sehemu nzuri.
Wew em kuja apa nipe madini kurasa mbili, haraka

[emoji23] [emoji23] [emoji119] Pls kuja ufunguke kias hapa,

Vipi unailewa biz ya madini kidogo...

Mengneyo kidogo..
 
Back
Top Bottom