RamaQ
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 136
- 115
Dawa inalipa madawa ya mifugo& kilimoVipi na biashara za pombe, madawa, nguo na viatu
Dawa inalipa madawa ya mifugo& kilimoVipi na biashara za pombe, madawa, nguo na viatu
Kikubwa nikutokukaa n mzigo muda mref bora uingizee faida kidogo lkn mzungukoo uwe mkubwaDuh faida hawajal vp wana attention na kipi hasa.
Nimeshtuka
Wanaganga biashara zaoMmh, kapeace so masawa sana, wanalogana au wanaganga biashara zao.
Ufunge zipu hiyoDuh faida hawajal vp wana attention na kipi hasa.
Nimeshtuka
We uko wap?Dagaa wengi? Kumbe ni ziwani kabisa.
We simama imara katika imani yako ila kule wanapenda hizo mamboIla vipi hawaondoani na kudidimizana, maana kwenye weng kuna... Meng