Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 557
- 1,544
Habari wana JF,
Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi.
Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu kupokea ni changamoto.
Ningependa nijue bei kabla sijaenda kununua ili nijipange mapema – kama nitakuwa na pungufu niweze kuongeza fedha mapema badala ya kurudi rudi.
Kama kuna wakala, muuzaji wa jumla, au hata mtu aliyewahi kuagiza akiwa mikoani na anajua gharama ya usafiri au bei halisi aliyolipa, tafadhali naomba anisaidie.
Pia kama unajuana na wakala wao au sehemu ya karibu nisaidie nifahamu bei nashida nalo sana, nitashukuru sana.