Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”
Pia, soma:
Yeye huyo si ndio alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama? jamani huku sio kujishushia credibility ya kuwa mwakilishi wa wananchi?