Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”

Pia, soma:

Yeye huyo si ndio alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama? jamani huku sio kujishushia credibility ya kuwa mwakilishi wa wananchi?
 
Mkiambiwa magufuli alikua jambazi sugu mnakataa kwa nini kikwete alivostaafu hakuna waliolia kuporwa mali zao kama kwa jamaa yenu
Hata pablo pamoja na uhalifu wake wa kuuwa watu bado watu na kuwaua na madawa ya kulevya, watu hawakutaka akamatwe
Kwa binadam kufuata sheria kwa hiyari sidhani kama inawezekana.
Minachojua lazima kulikua luna makosa ingawa yanawrza kuwa yalihitaji kupigwa adhabu na kupewa onyo na wakaendelea na biashara.
 
Na huyu ndio alikuwa RC wa Arusha wakati huo.

Wapinzani hawako Bungeni, sasa ni lazima wao waseme ukweli mchungu hata kama ukweli huo unawagusa.

Ipo siku watakiri kuwa hata huo ubunge wao ni haramu na wenye busara watakuja kuomba radhi umma wa watanzania.

In short, Magu atakumbukwa kwa uovu mwingi na ni busara WANA-CCM wenzake au wanafamilia wake wakamuombea msamaha kwa watanzania.
Siku ya Mwisho kila goti litapigwa
 
Alipokuwa anatekeleza maagizo ya Magufuri hakulijua hilo,leo ameona ni muda wa kuwahadaa wadanganyika,siasa chafu kuwahi kutokea.
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”

Pia, soma:
 
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”

Pia, soma:

Allaa, washaanza kutajana
 
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”

Pia, soma:
Huyu Mrisho ni mnafiki,
Wakati hili zoezi, lina fanyika, Mrisho alikuwa Rc, alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa?. Atuambie alifanya nini? Kwanini hakujiuzulu?
Huu ni unafiki wa form six.
 
Gambo akapimwe akili kwanza.

Hata ubunge wake kaupata kwa hisani ya Magufuli. Gambo ni miongoni mwa wanafiki wakubwa ambao hawatakiwi kabisa.

Ukimufurahia Gambo ipo siku atakugeuka na wewe. Yeye si mkweli bali ni mfuata maslahi na mjinga mkubwa.
U mrishooo huyu huyu aliyekuwa RC wa Arusha au dishi limeondolewa king'amuzi?

Hivi bado anaenda kunywa kahawa na kula mihogo mtaani kama kipindi cha Kampeni?
Aingie Bongo movie anafaa .
Ile Bongo Dar es salaam wawe na Dude
 
Na huyu ndio alikuwa RC wa Arusha wakati huo.

Wapinzani hawako Bungeni, sasa ni lazima wao waseme ukweli mchungu hata kama ukweli huo unawagusa.

Ipo siku watakiri kuwa hata huo ubunge wao ni haramu na wenye busara watakuja kuomba radhi umma wa watanzania.

In short, Magu atakumbukwa kwa uovu mwingi na ni busara WANA-CCM wenzake au wanafamilia wake wakamuombea msamaha kwa watanzania.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom