Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

Kitu kimoja kwa hakika, ikatokea mwendazake akafufuka, atadedi tena fasta kwa spidi ya Mombardier, sio kwa unafiki huu wallah
Akafufukie kwao Burundi na Mpango atangulie akampokee huko. Hapa Tanganyika hatutaki hata kumsikia Shetani mkuu yule.
 
In short, Magu atakumbukwa kwa uovu mwingi na ni busara WANA-CCM wenzake au wanafamilia wake wakamuombea msamaha kwa watanzania.
acha Jiwe aungue kwa mkaa wa chum huko aliko. Jitu katili kama vile halikuzaliwa na binadamu.
 
Majizi si yapo lifanyike gwaride la utambuzi kupitia cctv wabanwe warejeshe pesa hizo
 
Rudisheni pesa za Watu mlizopora kwenye bureau na mabenk.
Kuna majizi mengine yalikuwa pale jirani na mnazi mmoja yalitumika na jiwe kuchungulia akaunti za watu na kumpelekea jiwe taarifa yakagawane.
Kama uliporwa pesa zako kwenye akaunti ni kuishtaki benk husika yenyewe ndo inajua nani mwizi.
 
Back
Top Bottom