Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,312
- 103,892
Gombea uraisi sasa wewe
Sina vyombo vya dola nyuma yangu kunisaidia kutangazwa mshindi, japo nina uhakika kura nitapata toka kwa wananchi.
Gombea uraisi sasa wewe
Mkuu unaowaona walianza hivyohivyo usiogopeSina vyombo vya dola nyuma yangu kunisaidia kutangazwa mshindi, japo nina uhakika kura nitapata toka kwa wananchi.
Mkuu unaowaona walianza hivyohivyo usiogope
Umekaa kizamani sana wewe, Hata hivyo, ninachoamini hata wewe ni mtu duni sana na dhaifu mno Mbele ya kifo, kwa kuwa hata huwezi amini iwapo kejeli zako hizi zikawa ni za mwisho nawe ukazikwa kama itakavyokuwa kwa kila mwenye mwili, Hekimika kijanaKaa kwa kutulia, na uhakikishe maua hapo kwenye kaburi la dhalimu yananyeshewa. Tulipokuwa tunahoji mikataba ikae wazi, mlikuwa kimya maana mlikuwa kwenye chain ya upigaji, sasa hivi mmeoshwa mikono na mafuta taa mnalialia hapa.
Basi waacha washamba wawe maraisi wakoSina muda wa ushindani wa kishamba.
Kwa hiyo kujenga Airport Dodoma unauwa airport Dar au? Umeshaambiwa Bandari ya Dar imefika kikomo haina uwezo na wala haitakuwa na uwezo wa kupokea meli kubwa za kisasa ni lazima bandari mpya ijengwe kuendana na mahitaji ya biashara duniani. Bandari ni biashara ya ushindani duniani ndio maana hata Airport hazibaki the same tumejenga Terminal 3 sababu Terminal 2 haina uwezo tena lakini haina maana Terminal 2 umeuliwa inafanya kazi kwa uwezo wake. Kwa ufupi bandari ya Dar imefika kikomo uwezo wake. umeambiwa jana tukifanya mchezo bandari ya Dar itabaki kama kituo cha daladala.wewe ni mtu duni mno kifikra
Huwezi kusema vitu vya kipumbavu eti ndiyo viwe msingi wa vizazi vijavyo, Tunatumia akili kubwa tunapotazama mbele,
Sisi tunajadili uwekezaji wenye tija, wewe unakuja na mitusi utadhani ni chakula chako cha asubuhi, Jenga hoja, Narudia tena kukubali mradi wa Bandari Bagamoyo bila kuzingatia manufaa ya uchumi ya nchi yetu, na bila kuondoa baadhi ya mashariti kandamizi, ni kuuwa kwa maksudi bandari zilizopo
Sasa wewe, badala ya kuja na hoja unakuja na matusi utadhani wewe ni mjusi haya bhana
Umekaa kizamani sana wewe, Hata hivyo, ninachoamini hata wewe ni mtu duni sana na dhaifu mno Mbele ya kifo, kwa kuwa hata huwezi amini iwapo kejeli zako hizi zikawa ni za mwisho nawe ukazikwa kama itakavyokuwa kwa kila mwenye mwili, Hekimika kijana
Sasa usilielie sana tukiwapa vipande vyao hao mapeasant.Basi waacha washamba wawe maraisi wako
Huyo jiwe alikuwa mzandiki, mwongo na mfitini. Kwa miaka 5 tu alitudanganya:-kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh EL wamekuwa waongo kuukataa huu mradi kwamba hauna manufaa yoyote kwa nchi yetu?
Na wewe 10%Huyo jiwe alikuwa mzandiki, mwongo na mfitini. Kwa miaka 5 tu alitudanganya:-
-ndege zinaleta faida akafanya mpk bongo movie ya gawio
-uchumi unakuwa kwa 7%
-tunajenga miradi ya kimkakati kwa fedha zetu za ndani
..n.k
Kwann umwamini mtu kama huyu?
Kwann tusidhani mzee Kikwete na SSH wako sahihi? Mzee Kikwete hajawahi kudanganya kwa miaka 10.
Unataka uwazi wa bandari ya Bagamoyo. Mbona huulizi mkataba wa ununuzi was ndege? Bunge halijaidhinisha lakini wanaofahamu ununuzi ni Mwendazake na mpwaye ambaye wakati huo alikuwa Paymaster General!Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi?
kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh EL wamekuwa waongo kuukataa huu mradi kwamba hauna manufaa yoyote kwa nchi yetu?
Kuanzisha mradi wa Bandari Bagamoyo bila kuwepo uwazi wa mkataba uliotiliwa mashaka na viongozi mbalimbali wa nchi hii, ni uhujumu uchumi mkubwa na kuziua bandari zetu ambazo ni tegemeo kubwa la uchumi wetu
Hivi, Tanzania ni lini tutafahamu kwamba, uwingi wa miradi na sifa ya kuwepo wawekezaji wengi wasio na faida haituongezei chochote zaidi ya kutufanya tuwe taifa tegemezi na lisiloweza kujikomboa na umasikini..!
Kuwa na uwingi wa miradi haina maana kwamba umasikini ndiyo basi tena, Isipokuwa ni kuwa miradi yenye tija
Mungu ibariki Tanzania na Mungu bariki viongozi wetu
Kwani bakwata wanasemaje kuhusu HiloInasikitisha sana kuona rais ambaye ni muisalam ambaye anashinda kutwa nzima amefunika kichwa chake huko China kuna kabila la Uyghurs ambalo wamesema ni haki yako kuabudi uislam wote wamekusanywa na kuwekwa kwenye concentration camp, shame on us!
Hela ndiyo zinaabudiwa kuliko hata imani raisi anayo shinda ana valia ushugi. Hawa ndiyo wawekezaji wa bagamoyo kwa muislam mwingine ambaye ni kama foreigner kwenye nchi yake anayezungukwa na watu masikini hohehahe wa kizaramo, elimu duni na afya mbili. …Magufuli alikuwa na inside informations za madudu yote ndiyo maana amekatishwa uhai wake na hicho ndiyo kisa kilichobaki mfikisha huko aliko
. Kinachofuatia ni kuwamaliza asikali watiifu wa Magufuli period, but time will tell.
sawa kabisa mkuuHii thread ina mashuzi mengi ya majizi..
Mkuu hili ni jibu murua kabisaSasa Je makosa yaendelee kufanyika au yarekebishwe kwa kuanza kuweka mikataba wazi na kusomwa na