Mpenzi wa rafiki yangu ameoa lakini bado wanapendana

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Acha wamalizane.
 
Hivi mnajua mapenzi au mnayasikia tu?? Mwanaume anaekupenda atakuheshimu, atakujali kwanza huyo mwanaume ni Muongo na anaendeleza Uongo wake, kama angekuwa mkweli angemueleza huyo rafiki yako tokea awali kuwa ana mtu.

Pili HAJALI MAUMIVU YA HUYO RAFIKI YAKO, Yeye anajidai aliogopa kumwambia angemuumiza jee hilo la kuoa halitamuumiza, kama ingekuwa ni mwanaume anaependa kweli na kujali angemueleza shoga yako tokea awali, anachofanya huyo mwanaume ndo wanachofanya baadhi ya wanaume wengi, mwache aendelee kutumiwa, azalishwe halafu akija akishtuka na miaka 36 au 40 Mlete hapa Jamii forum aje atafute Mchumba wa kumuoa, Mtu ameshaoa mke wa kanisani bado unaweka matumaini ingekuwa mume ni muislam afadhali angeweza olewa mke wa pili.
 
Yaan n shida jmn duh
 
Huyo mwanaume hampendi ata kidogo, kweli apo ndo unapoona love is a blind
Muombee tu kwa Mungu rafik yako afunguke akili la sivyo ataishia kua mchepuko
 
kuna wanawake vibudu hapa tanzania.
 
mahaba niuee niponde ponde kama nyanya yaan nizaid ya sisikiii kwa penzi lake haoiniii...... ila ikabid aache waoanee enhee aache waoaneee.....
 
Huyo katumwa na malaika amkomboe mke wa huyo mchepuko wako
 
Back
Top Bottom