Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
- Thread starter
- #41
HahaaaaaaaaUnaonekana mgomvi sana, hahahahaa, mpaka na kupiga tena.?
Hyo kupiga ni pale anaporudi oohh nisamehe nimerudi ila sio kwny mahusiano....
Hahaaa
HahaaaaaaaaUnaonekana mgomvi sana, hahahahaa, mpaka na kupiga tena.?
Maana yakeeNa kuna mwengine wahenga wa kiswahili walisema "hakuna mwanamke asiyekuwa mwanamke "
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa
Mmi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka....iko hivi
Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana..week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa teena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rfk yangu kuw anampenda...na hata kabla ya ndoa siku chache walikuw wote na mwanamume alimwambia rfk yang amwamini atamuoa
Ssa baada ya harusi rfk yangu akaona picha kweny social media hizi rfk wa mwanamume kapost...na kuwasifia wamekaa ktk uhusiano 8 years
Rafik yang alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza so naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza san kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rfk yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa....nimeshaongea hadi nimechoka jamn, na mwanamume nae ankomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rfk yangu alivokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani......jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi
Na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi.
Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kma mpango wa pembeni
Tumshauri ntamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira
Maana yakee
Dah, sasa kupigwa tena.? Si ndo utanifukuza kabisa nisirudi tena.?Hahaaaaaaaa
Hyo kupiga ni pale anaporudi oohh nisamehe nimerudi ila sio kwny mahusiano....
Hahaaa
Kabisa miss chagakama anataka kuzaa naye mwache azae ndiyo atajua tamu ya kutumia moyo sehemu ya kutumia akili ...... mwanaue anataka kumfanya mchepuko tu
Zamani kidogo wazee wetu waliweza kuoa hadi wake 4, kwa maoni yangu...Hakuna jipya hapo...mhimu mwanaume amudu kuwahudumia wake zake na wote wakubali kuwa wake wa huyo bwana. Na huyo mwanaume asifanye figisu figisu za kumuumiza mke mkubwa...mhimu ni wote watatu wakae wakubaliane inapobidi ili kujenga mahusiano yaliyo bora kabisa. Binafsi nawaencourage wachepukaji kuoa wake zao wamafichoni ili waishi kwa amani na wafaidi mahusiano yao!!
Wewe mpe...hamna haja ya kuwafanya watu waishe kwa unyonge kwa kutotimiza ndoto zao!! kama watamudu acha waanze mapema hizo changamoto za kuishi watatu ili waweze kuzoea mapema kuliko kuwafanya waendelee kuibia ibia wakijagundulika inakuwa ugomvi usiokuwa na mwisho!!Ooohhhh yo such encouraging ila hii nikimuonesha nahis atatamsn hata kukupa hela maan shaur km hiz ndo anazopenda hahaass
HahaaaaaaaDah, sasa kupigwa tena.? Si ndo utanifukuza kabisa nisirudi tena.?
HahaaaAaaInawezekana kweli huyo mwanaume anampenda huyo dada lakini kakosa jinsi.
I went through that situation once.
Sema mwisho wa siku things don't go as planned so huyo rafiki yako asijedhani ataolewa huyo mwanaume atashindwa kutoka kwenye ndoa na hata akitoka itaacha kovu.
Haiya bestWewe mpe...hamna haja ya kuwafanya watu waishe kwa unyonge kwa kutotimiza ndoto zao!! kama watamudu acha waanze mapema hizo changamoto za kuishi watatu ili waweze kuzoea mapema kuliko kuwafanya waendelee kuibia ibia wakijagundulika inakuwa ugomvi usiokuwa na mwisho!!
Ameingia kwenye ndoa soon watapata mtoto au watoto hapo ndipo complication ya plan itakapokuwa ngumu.HahaaaAaa
Nn itaacha kovu
HahahaaaaMPE POLE RAFIKI YAKO SI AJABU ATAKUWA AMEROGWA AISEE UCHAWI UPO.
AhaaaaaaAmeingia kwenye ndoa soon watapata mtoto au watoto hapo ndipo complication ya plan itakapokuwa ngumu.
Watoto mara nyingi humwaga zege kwenye muunganiko.
Kikubwa mshauri muwe mnauzuria ibada kama ni muislam amrudie Mungu wake na kama ni mkristo pia hivyo hivyo amrudie Mungu uku akiomba ampe mume bora maana huyo si wake tena.Hahahaaaa
Kuna wakat ananiulizaga eti dear ntakuwa nimelogwa eti...mbona nashindwa kuwa strong ktk hili na wkt tumekuwa strong kwa mambo mengi ya maisha...si chuo si wap si kwny kutafta hela si wap...na jmn hiwez amin ni wale determinant girls nahs mnaelewa...yaan wanawake flan wenye akili ya maisha na they can make any man stay na akaona kapata mke material lkn ktk hili siamin kabisa....chuo watu walikuw wanamfaham kwa mambo yake makuu alokuwa akifany na ndo kilichonivuta had kuwa friends i wanted her to b my role model
Kabisa achana na kitu mtoto....japokuwa kaka yule pia alikuwa na mtoto aliwahi kuzaa na mtu mwingine sio alomuoa..Ameingia kwenye ndoa soon watapata mtoto au watoto hapo ndipo complication ya plan itakapokuwa ngumu.
Watoto mara nyingi humwaga zege kwenye muunganiko.
Sasa ni kwambieKikubwa mshauri muwe mnauzuria ibada kama ni muislam amrudie Mungu wake na kama ni mkristo pia hivyo hivyo amrudie Mungu uku akiomba ampe mume bora maana huyo si wake tena.
Sa tofautisha watoto wanaopatikana kwenye ndoa tena za kikristo. Kama hakuwa na guts za kukataa kumuoa huyo aliyemuoa before ndoa, guts za kumuacha akiwa kwenye ndoa atazitoa wapi?Kabisa achana na kitu mtoto....japokuwa kaka yule pia alikuwa na mtoto aliwahi kuzaa na mtu mwingine sio alomuoa..