Mpenzi wa rafiki yangu ameoa lakini bado wanapendana

Rafiki yako aachane tu na huyo man hakuna namna hata kama amempenda vipi binadamu tumeumbiwa kusahau atamsahau tu na atampata wakeee
 
Akili za mwanamke zinatakiwa kufanyiwa Overhaul !!
 
Hahahaa, huwezi jua alikuwa anatiwa sound gani. Na pia unaweza kuta dada alikuwa anafikishwa kilimanjaro kwa kutroti tuuuu.

Heheheeee
Ujinga huo...8yrs...lazima waoane na wanapendana haswaaa...!!

Sometimes unapaswa kutumia akili badala moyo na wanawake wengi tunatumia moyo ndo maana tunaumizwa!
 
There you are, na hilo haliwezi badilika maana ni nature mungu ameumba hivyo. Hivi unadhani sote tungekuwa tunatumia akili si ingekuwa balaa.?

Vivyo hivyo kusupport hiyo idea, mungu amewaumba ninyi muwe wengi sisi wachache.
 
hata kama ishakula kwake!
 
hata kama ishakula kwake!

Huwezi sema hivyo direct, inawezekana ndo ikawa neema kwake. Sometimes binadamu huwa tunapata fundisho in a harshway, na fundisho hilo likakubadili kabisa na kukufanya uwe bora. Though pia inaweza kuwa bahati mbaya kwake.

Wahenga walisema, dhahabu iliyo njema ni lazima ipitie katika tanuri la moto.
 
Kwa Huyo mwanaume asahau kabisa...
 
Huwezi sema hivyo direct, inawezekana ndo ikawa neema kwake. Sometimes binadamu huwa tunapata fundisho in a harshway, na fundisho hilo likakubadili kabisa na kukufanya uwe bora. Though pia inaweza kuwa bahati mbaya kwake.

Wahenga walisema, dhahabu iliyo njema ni lazima ipitie katika tanuri la moto.
Neeemaa
Ww complex ww
Kuna neema gan ww hapo unaiona?
 
Neeemaa
Ww complex ww
Kuna neema gan ww hapo unaiona?

Naona hamjaelewa, nilichokimaanisha ni kwamba. Sometimes kupoteza pambano (maana hapo mdada keshapoteza kwa huyo kaka ) kunakuandaa vyema kwa ajili ya pambano jingine utalolipata na litakalokuja mbele yako.
 
Back
Top Bottom