Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
- Thread starter
- #21
Kujikamua ndo kufanya nn teena Lady AJNa wewe upo kwenye list ya wanaojikamua nn
Kujikamua ndo kufanya nn teena Lady AJNa wewe upo kwenye list ya wanaojikamua nn
HaHaaaaaaaaatatizo la kutumia moyo kwenye mambo ya msingi
hahahaaaa..nakweli Ana nyota ya mchepuko mwache Tu aendelee kutumika maana hamna namnaHahahah wanawake wengine vichwa nazi
Kwa hiyo anasubiria mwenzie afe yeye aolewe???(maana kanisani ndoa hutenganishwa na kifo)
Kweli ana nyota ya mchepuko...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tuKujikamua ndo kufanya nn teena Lady AJ
UongoKipi toka kwetu kilichokuchosha.?
Niambie buana mamy[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tu
Usichoke mama we chechemea ipo siku utasimama,Sikataii ila ssa nimeshachoshwa na nyie watu akhuuu nimekaa pembeni mie
Uongo
Usaliti
Kutokupendeka
Hamjui thaman ya wanawake n.k
Mfn ths frnd ov mine hapa ndo kabisa nkimwangalia naona wote mko vile...
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa
Mmi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka....iko hivi
Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana..week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa teena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rfk yangu kuw anampenda...na hata kabla ya ndoa siku chache walikuw wote na mwanamume alimwambia rfk yang amwamini atamuoa
Ssa baada ya harusi rfk yangu akaona picha kweny social media hizi rfk wa mwanamume kapost...na kuwasifia wamekaa ktk uhusiano 8 years
Rafik yang alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza so naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza san kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rfk yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa....nimeshaongea hadi nimechoka jamn, na mwanamume nae ankomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rfk yangu alivokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani......jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi
Na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi.
Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kma mpango wa pembeni
Tumshauri ntamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira
ID yako ya zamani ni ipi?
Naona kama umebadili ID ili uje uombe ushauri, anyway, hii picha siyo mpya.
Kuna msemo wazungu wanasema, 'A woman is just a woman, when she starts feeling, she stops thinking'.
Unakuta unafanya kila kitu unachojua ni kizur au kinatakiwa kwny mapenzi lkn return yake uwiiiiHayo inategemeana ne wewe ni
Mkweli,
Muaminifu,
Unajua kupenda.?
Unajua thamani ya mme.?
wahenga walisema usitegemee kukusanya mahali ambapo wewe hujatawanya.
Unakuta unafanya kila kitu unachojua ni kizur au kinatakiwa kwny mapenzi lkn return yake uwiiii
U love a person
U care
U do evrthng
Unakuwa mzuri kiakili
Mshaur
Kila kitu yaani kinachotakiwa kufanywa na mke mtarajiwa ila ssa matokeo yake
Halaf mtu anakuja oohh samahn cjui nilifny nn oohh sjui
Weeeeee napigaaa
Sijabadili ID am a new member....ila siku zote nilikuwa nkisoma ushauri wenu ....so nkaona nifany registration ili nimsaidie rfk yangu....maan mm km mm nmeshindwaID yako ya zamani ni ipi?
Naona kama umebadili ID ili uje uombe ushauri, anyway, hii picha siyo mpya.
Kuna msemo wazungu wanasema, 'A woman is just a woman, when she starts feeling, she stops thinking'.