Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
2,974
Reaction score
5,108
Yule binti alitumia nguvu kubwa sana kunishawishi, hadi nikahisi labda anataka kuniambukiza maradhi, Nilimpuuza sana, hadi akaanza kunitolea maneno ya dharau, ananiambia eti au we siyo mwanaume rijali,

Sikumwambia rafiki yangu kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu, jamaa hakujua wala kuhisi kinachoendelea,

Baada ya kuona dharau zimezidi nikaamua kumtolea uvivu, Nikamshghulikia kwelikweli, nikiapa itakuwa mara moja tu. Nb Tulicheki afya

Yule binti hakukoma kunisumbua, kwa bahati nzuri ilitokea nikahamia mkoa mwingine ndo ikawa mwisho .

Jamaa yangu tunawasiliana vizuri tu kama vile hakuna kilichotoea,

Wakati mwingine unaweza kutenda jambo bila kupenda.

Kwa upande wako umewahi kutoka na mpenzi wa rafiki yako? ilikuwaje, na uliwezaje kutoka kwenye huo mtego ukiwa salama?
 
kwahiyo mkuu unataka kusema upo salama..? ngoja jamaa lije lijue kesho tu uone litakavyokuja na style mpya yakulipiza kisasi, sio tu magazeti yataandika hadi vipeperushi, habari yako itakuwa gumzo mpaka kwenye vyombo vya kuoshea vyombo...😁
 
mim ndo nakaribia kufunga ndoa na mpenzi wa rafiki angu👌,, yule dada alikua anamchezea mkaka wa watu alf mi nipo Singo na huyu ba mzuri wangu alikua na upendo wa kweli,, mwanzo ilikua ngumu ila badae akanielewa🥰

yoyoyo natania😅
 
Ila sisi wanaume ni wabinafsi sana! Ingekuwa jamaa amekula rafiki wa girlfriend wake (shemeji wake wa kike) naamini angesifiwa humu.

Ila kwasababu Kala demu wa mshkaji wake eeeh anaitwa snitch nk nk! Waswahili hawakukosea “kunya anye kuku akinya bata aaahaaa ameharisha 😀)

NB: siungi mkono usaliti by the way .
 
Yule binti alitumia nguvu kubwa sana kunishawishi, hadi nikahisi labda anataka kuniambukiza maradhi, Nilimpuuza sana, hadi akaanza kunitolea maneno ya dharau, ananiambia eti au we siyo mwanaume rijali,

Sikumwambia rafiki yangu kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu, jamaa hakujua wala kuhisi kinachoendelea,

Baada ya kuona dharau zimezidi nikaamua kumtolea uvivu, Nikamshghulikia kwelikweli, nikiapa itakuwa mara moja tu. Nb Tulicheki afya

Yule binti hakukoma kunisumbua, kwa bahati nzuri ilitokea nikahamia mkoa mwingine ndo ikawa mwisho .

Jamaa yangu tunawasiliana vizuri tu kama vile hakuna kilichotoea,

Wakati mwingine unaweza kutenda jambo bila kupenda.

Kwa upande wako umewahi kutoka na mpenzi wa rafiki yako? ilikuwaje, na uliwezaje kutoka kwenye huo mtego ukiwa salama?
kitu cha gharama kubwa zaidi duniani ni uaminifu. Watu wa bei rahisi hawawezi kuumudu .
 
Back
Top Bottom