Mpenzi wa rafiki yangu ameoa lakini bado wanapendana

Mama Confidence

Senior Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
172
Reaction score
144
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa,

Mimi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka, iko hivi;

Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana, week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa tena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rafiki yangu kuwa anampenda na hata kabla ya ndoa siku chache walikuwa wote na mwanamume alimwambia rafiki yangu amwamini atamuoa sasa baada ya harusi rafiki yangu akaona picha kwenye social media hizi rafiki wa mwanamume kapost na kuwasifia wamekaa katika uhusiano 8 years.

Rafiki yangu alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume, baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana, mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yeye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza.

So naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza sana kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rafiki yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa.

Nimeshaongea hadi nimechoka jamani, na mwanamume nae anakomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rafiki yangu alivyokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani.

Jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi. Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kama mpango wa pembeni.

Tumshauri nitamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira.
 
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa

Mmi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka....iko hivi

Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana..week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa teena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rfk yangu kuw anampenda...na hata kabla ya ndoa siku chache walikuw wote na mwanamume alimwambia rfk yang amwamini atamuoa
Ssa baada ya harusi rfk yangu akaona picha kweny social media hizi rfk wa mwanamume kapost...na kuwasifia wamekaa ktk uhusiano 8 years
Rafik yang alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza so naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza san kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rfk yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa....nimeshaongea hadi nimechoka jamn, na mwanamume nae ankomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rfk yangu alivokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani......jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi
Na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi.
Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kma mpango wa pembeni

Tumshauri ntamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira
[emoji121]
IKIPATIKANA SAMARI NA PICHA YAKE
TUJUZANE ILI NIJE KUISOMA!
 
Huyo mwanaume hafai.... Mwambie tuu rafiki yako acope with matokeo huyo si wake tena ameshaoa atafute mwingine. Otherwise mwambie asikuhusishe chochote kuhusu mapenzi /mahusiano
 
Kwakweli maana ssa nimechoka...eti madai yao wana match everthing kila mtu anamwambia mwenzie hawezi patikana kma yeye
 
Umeona eeeh
Yaan hapo dah....alimdanganya na bado anaendelea kumdanganya

Na ilivyo ataenda kutumiwa mpaka pale atavyozinduka. Yaani wapo 8 years then wewe una matumaini ya kuwa hawapendani.? Ila sishangai, ndo akili za wanawake wengi zilivyo pale wanapopenda mtu. Na good/bad thing ni kwamba sisi wanaume tupo vizuri katika kuexpliot weakness zenu kama hiyo.

Wahenga wanasema time will tell, and when tells it will be too late for her.
 
Kwakweli

Kwakwelii ndo maana mmi na wanaume ni maji na moto uwiiii....sitaki kabisaa.
 
Acha maneno yako, unaongea tuu hapa jukwaani. Ukute ndo bingwa wa kubembeleza. Achana na ile kitu ya kuitwa dushe.

Hahahaaaahaha
Sikataii ila ssa nimeshachoshwa na nyie watu akhuuu nimekaa pembeni mie
 
Kitendo cha kufunga ndoa na mwanamke mwingine tena kwa kuwa wote kwa miaka 8,lilikuwa ni jibu tosha kwake.
 
Na ilivyo ataenda kutumiwa mpaka pale atavyozinduka. Yaani wapo 8 years then wewe una matumaini ya kuwa hawapendani.? Ila sishangai, ndo akili za wanawake wengi zilivyo pale wanapopenda mtu. Na good/bad thing ni kwamba sisi wanaume tupo vizuri katika kuexpliot weakness zenu kama hiyo.

Wahenga wanasema time will tell, and when tells it will be too late for her.
tatizo la kutumia moyo kwenye mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom