elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Mama confidence sijakuelewa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwan na hii ya hapa
Mama confidence sijakuelewa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwan na hii ya hapa
Hii[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Huyo katumwa na malaika amkomboe mke wa huyo mchepuko wako
Previous txt sijaielewa
Yes katumwa amkomboe mke halali wa mchepuko maana anafilisi familia ya watuHii[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
HahaaaaaaaYes katumwa amkomboe mke halali wa mchepuko maana anafilisi familia ya watu
Mwambie waame dhehebu awe mke wa piliHahaaaaaaa
Yeye hata hachukui hela yule maana we had our ethics kabla kuwa tusiwe gold digger...sema tu kapenda na haelewi sa hiv nn anafanya
HahaaaaaaaaaaaMwambie waame dhehebu awe mke wa pili
Atakumaindi umepeleka shida zake mtandaoniHahaaaaaaaaaaa
Hapa namngojea kwa hamu arud asome hiz comments
Hapana alikubali....nilimwambia nafungua account huku coz huku kuna wati wakubwa kwa wadogo ili aone mambo yalivyo....akasema poa though i still love him....fanya labd inaweza nisaidiaAtakumaindi umepeleka shida zake mtandaoni
Basi utakuwa msagwaji kama hutaki wanaume.Sikataii ila ssa nimeshachoshwa na nyie watu akhuuu nimekaa pembeni mie
Kweli hayana mwenyeweHapana alikubali....nilimwambia nafungua account huku coz huku kuna wati wakubwa kwa wadogo ili aone mambo yalivyo....akasema poa though i still love him....fanya labd inaweza nisaidia
Uwiiiiii[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaan km ulikuwepo wkt nakuaga na hizo matarajio kubwaBasi utakuwa msagwaji kama hutaki wanaume.
Tatizo mkiwa katika mapenzi mnakuwa na matarajio mkubwa kama nini.
Mind You, Too Much Expectation Hurts...MAMA CONFIDENCE. So You Ought To Do It Just For Fun..Mama confidence.
That apart, utaendelea kulia lia kila siku.
Basi mororo mamaUwiiiiii[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaan km ulikuwepo wkt nakuaga na hizo matarajio kubwa
Kuhus usagwaji noh....niwie radhi...i dont....sema wat make me feel good najikeep busy na kazi muda wote au sometimes nakuwa kwny blogs au social media km sina cha kufany tht means nkiwa na kazi nying nikilala sishtuki nakuwa siwaz...na kwny media nacheka nasahau mwish wa siku naona usiku ule
Hahaaaaaa[emoji23] [emoji2] haiyaBasi mororo mama
Fanya kitu roho inapenda na kinakupa raha ila sio kuswaga.
Ukishindwa vumilia nicheki nipo tayari kukuhandle hakika utaenjoy sana maisha.
Karibu sana!Hahaaaaaa[emoji23] [emoji2] haiya
teh teh mkuu umenena huenda kweli anasubiri afe ili aolewe, tehHahahah wanawake wengine vichwa nazi
Kwa hiyo anasubiria mwenzie afe yeye aolewe???(maana kanisani ndoa hutenganishwa na kifo)
Kweli ana nyota ya mchepuko...
Sokoro waito? Goko waito ni yupi sasa SOKORO WAITO.teh teh mkuu umenena huenda kweli anasubiri afe ili aolewe, teh