Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,330
- 24,213
Tulia yupo, na barabara zimeshaanza kutengenezwa huko Mbeya.Siwaondoke CHADEMA ife ufurahi? mbona hutaki waje CCM sasa?
Mrudi mlikotoka!
Tulia yupo, na barabara zimeshaanza kutengenezwa huko Mbeya.Siwaondoke CHADEMA ife ufurahi? mbona hutaki waje CCM sasa?
Appeal for what? Nyumbu katika uboraHamna mpasuko hapo ndio maana kuna room for appeal
hahaaaaa yaani bado unaamini hakuna mgogoro huko? yaani chadema wote tabia zenu ziko sawa mbowe anawachangisha hela anakula mnashabikia msigwa anawachangisha anakula wamemshitukia anakuwa mkali anafukuza wat hovyo halafu mnataka kuchukuwa nchi mnaweza kuiongoza kama mnashindwa kujiongoza ndani ya chama?
KUBE MNAKIJUWA KUWA SI CHAMA BALI NI KIKUNDI CHA MIGOGORO AIBUHicho CDM ni chama cha aina gani kisichokufa, kama ni migogoro tumeona mingi toka enzi za kina Walid Kabarou, Zito, Slaa, akina Mashinji, covid nk. Sasa huo mnaoita mgogoro huko uchochoroni ndio utaua CDM?
KUBE MNAKIJUWA KUWA SI CHAMA BALI NI KIKUNDI CHA MIGOGORO AIBU
Yaani nimeishia kucheka tu. Hivi watu wengine vyama vya siasa vinawaloga au vinawafanyaje?
Mtu unamuonesha kitu cheupe na unamumbia hiki kitu ni cheupe, lakini yeye bado atasema sio cheupe. Nadhani huo ni uwendawazimu sasa!
CCM na maendeleo ya nchi? Wewe binafsi unaamini hivyo? Au fursa binafsi?Ulikula kiapo kuendeleza umasikini wako?
Muwage na akili ya maendeleo.
Bahati mbaya sana CHADEMA sasa ndiyo platform pekee ya upinzani Tanzania inayotegemewa hata na wanaCCM wakiwemo watendaji wa vyombo vya dola wenye kero na uongozi wa nchi. Hakuna namna inaweza kufa.Wanachama, kama hao wa Mbeya, wakiondika HAKIKA chama chenu kitakufa
Be serious mkuu. Video haionyeshi “mpasuko”.
Inaonyesha tamko rasmi la uongozi wa kanda kuhusu hatua za kikatiba zilizochukuliwa kurekebisha uongozi wa Mbeya mjini. Linashangiliwa.
Pia mwenyekiti aliyeondolewa anaonyeshwa akilalamika nje ya kikao mbele ya press. Keshaambiwa kukata rufaa ruksa.
Mpasuko ungedhihirika zingetokea faction mbili za wanachama zikipingana katika kikao hicho kuhusu uamuzi huo bila muafaka.
Utakuwa umezaliwa jana wewe hujui lolote zaidi ya ushabiki ulioambukizwa na wazazi wako.nyie mnasubiri tuvurugane kufikia 2025 wakati nyinyi mmeashaanza sasa hivi kuvurugana mpaka 2025 tutakuwa na ACT WAZALENDO tu nyie mtakuwa mmeshamalizana wenyewe kwa wenyewe