DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
A cold glass of water will calm you down my fellow dearest idiot.Don’t be a jerk idiot
Happy dude [emoji67][emoji538]
A cold glass of water will calm you down my fellow dearest idiot.Don’t be a jerk idiot
Happy dude [emoji67][emoji538]
Watu wajf wanamajibu ya hovyooo sana yani! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Jitumie baadhi ya video na picha kama referenceHope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika
Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.
Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo
Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?
Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole wewe.Umezingua sana mkuu, mama yake amefikaje kwenye huu uzi tena? Heshima haiuzwi bana
Mkuu hebu kua na staha,huna ushauri kaa kimya,,hayo Mambo ya kujinyonga yanatoka wapiSio kila dada anadanga kama wa kwako.
Kama vipi jinyonge mkuu.
Unachukua vidonge kadhaa unakunywa na bia. Unakufa huku unatabasamu.
Jaribu wala hutajutia. Usiache kutuletea mrejesho.
Mkuu upo sawa kweli
Ungemshaurii TU jinsi ya kufanya sio lazima umtukane mkuu,,Wewe na jamaa yako wote wap.u.m.b.a.v.u mnoo. Mtu kamdharirisha dada yako dume zima badala ya kupigana unageuzia lawama kwa dada yako. Bure kabisa ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ushauri mzuri,,,lakini he atakua ameongeza au amepunguza tatizoMkuuu na wasi wasi na wewe hivi ni Dada yako kweli au ni binti wa jirani na kwenu ni ngumu sana kama kaka MTU unionyeshe video ukimbandua Dada yangu tena topeni halafu nikuache salama ni ngumu sana yaani damu yangu Nina wasi wasi Wenda ni jirani yako Huyo na kama ni Dada yako jua kama kuna siku umejidhalilisha ni Leo kwa wanajamii forum mambo mengine hutaki kuomba ushauri unafanya maamuzi magumu kama kaka mtu ata wazazi wakisia wanajua kweli tumezaaa dume si tulitegemea utuletee habari kuwa unakesi polisi kwa kumchakaza huyo rafiki yako aliyekudharau wewe na Dada yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zingatia mawazo na ushauri unaofaa,,mtu akikutukana hata usimjibu,,achana nae kabisaKwakweli watu tumekosa ustarabu kabisaa kwa nini mnanitukana? Nimewakosea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu,,inasikitisha sana
Good ideaPole sana.
Naomba usimweleze Dada yako kama umejuwa jambo hilo na badala yake limeze kiume, ila kama una msuli unaweza kujifanya indirectly mtoa ushauri juu ya uovu katika jamii unatoa na mifano ya mbali plus madhara ya uovu
Kikubwa mfanye Dada yako kuwa rafiki ili umuokoe zaidi na huyo jamaa yako aliekosa busara na hekima usimkaribie tena maana hastahili heshima yako amekukosea wewe na Dada yako kwa alichokuonyesha japo nawe sijajua kiwango chako cha uvumilivu ni cha juu sana aisee hongera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio imeshatokea hivyo,unamshauri Nini zaidiMambo poa, anasema walikua sehemu wanapata moja mbili, I thought ni alcohol, au kuna 1 2 za juices or soda eeh?, yaani badala ya kumvujisha mtu damu(huyo mtuhumiwa), eti yeye ndye amevujishwa moyo aisee, mimi ningemrukia mitama mixer vichwa kelbu za maana angejutaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyia kazi huu ushauri mkuu,Ni mzuriPole sana mkuu, kuna wakati unatamani usingekuwa na dada kabisa.
Ushauri mmoja tu maana ishatokea ila kama unaweza kurejesha urafiki na huyo jamaa ako kwa gharama yoyote basi ni kufomati simu yake na si vinginevyo.
Dadako ni mtumwa wa huyo jamaa maisha yake yote, why nasema hivi ni kwasababu dadako akizingua jamaa ataweka picha hadharani.
Ukishindwa kufomati au ukakosa kurejesha urafiki wenu basi mtafute rafiki yake wa sasa awe wa kiume au wa kike muombe afomati simu yake au hata kuibiwa kabisa.
Ombi, usimwambie dadako maana kifo kitamhusu cha kujiua na wala wazazi wasijue . Mtoto wa kiume ni jasiri hivyo fanya mambo kwa ujasiri ila usifikirie kumpiga huyo jamaako au kuua bali fanya mambo kisomi kiasi kwamba asijue what u plan against him. All the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Doomed!JF badala ya kuwa platform ya kufarijiana, kushauriana na kubadili tabia ovu, matokeo yake kimekuwa kichaka cha kuchochea uovu, lugha za matusi, kukatishana tamaa na kuzidi kuwaponda mioyo wale waliokwisha vunjika mioyo,
Kuna vitu vinahitaji busara ndogo sana lakini mmeishia kuwa watu wa dhihaka na matusi..!
Nakionea huruma mno kizazi kilichopo mbele yetu kisicho na hatia, kama hii jamii ndiyo ya wazazi wanaokwenda kulea watoto wetu..!
Sijui wa kulaumiwa hapa ni nani, We are doomed..!