Nimehuzunika saaana kusoma comments humu ndani.Nyakati za Sasa usitegemee kupata ushauri mzuri kutoka humu Jamii forum tofauti na ilivokua Kipindi Cha nyuma. Utaambulia kejeli tu na utani.
Sasaivi Mambo ya fesibuku yamehamia huku, Kikubwa tutangulize busara mbele wadau. Mtu kaomba ushirikiano wa kimawazo Kama hauna chochote Cha kumshauri Ni vema ukasoma ukaendelea kupitia jumbe nyingine Ila sio kudhihaki.[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app