Hakika Binamu.Hahahaha.. Huyo jamaa kamkosea sana..Binamu mengine tuwaachie walimwengu..
Pole Mkuu. Majukumu hayaepukiki hayo.Hahaha nipo ila huwa nasoma tu comments.
Huwezi amini hata ratiba ya timu yangu siikumbuki kisa majukumu
Mambo poa, anasema walikua sehemu wanapata moja mbili, I thought ni alcohol, au kuna 1 2 za juices or soda eeh?, yaani badala ya kumvujisha mtu damu(huyo mtuhumiwa), eti yeye ndye amevujishwa moyo aisee, mimi ningemrukia mitama mixer vichwa kelbu za maana angejutaa[emoji3][emoji3]Mambo vipi my... nimependa approach yako japo sidhani kama jamaa ametumia au wametumia kinywaji chochote vinginevyo angeleta Habari ya kumtoa mtu meno ya mbele
Happy dude [emoji67][emoji538]
Pole ila mmezingua kufikia stori za hivo bana, alikua anakwambia ili iwaje aargh.Ni story ndeefu nitakuja na mkasa kamili where the story was beginning
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uungwana.Ninefuta mkuu.
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika
Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.
Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo
Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?
Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo poa, anasema walikua sehemu wanapata moja mbili, I thought ni alcohol, au kuna 1 2 za juices or soda eeh?, yaani badala ya kumvujisha mtu damu(huyo mtuhumiwa), eti yeye ndye amevujishwa moyo aisee, mimi ningemrukia mitama mixer vichwa kelbu za maana angejutaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
A dumbest reply for a dumbest post.
Hujalazimishwa kusoma nilichoandika.
Angalia tu hizo hasira zisikuletee shida mbele ya safari
Huwezi kujihakikishia kumpiga Mwanaume mwenzio Kama hujapigana nae.Ningekuwa mimi tayar ningekuwa nipo ndani..huyo mwana ningemfanyia plastic surgery kwa kipigo na hiyo simu ingekuwa imeshakuwa screpa...
JF badala ya kuwa platform ya kufarijiana, kushauriana na kubadili tabia ovu, matokeo yake kimekuwa kichaka cha kuchochea uovu, lugha za matusi, kukatishana tamaa na kuzidi kuwaponda mioyo wale waliokwisha vunjika mioyo,
Kuna vitu vinahitaji busara ndogo sana lakini mmeishia kuwa watu wa dhihaka na matusi..!
Nakionea huruma mno kizazi kilichopo mbele yetu kisicho na hatia, kama hii jamii ndiyo ya wazazi wanaokwenda kulea watoto wetu..!
Sijui wa kulaumiwa hapa ni nani, We are doomed..!
Usijali miss ni kawaida. CoolHata wewe ulichoandika ni personal ndio maana na mimi nimeandika hivyo, ok yaishe. Samahani
Sent using Jamii Forums mobile app