Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

pole sana mkuu bt umenikumbusha mbali sana... niliwahi kuona picha ya dada angu akiwa kapiga uchi na mshkaji wake mwili ulipata ganzi kulingana na alivo mpole na mtaratb...
sikuwahi mwambia bt kila napomtizamaga hua siamini kama kweli ndo alifanya upumbavu ule
 
Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli na huwezi jua ni kiasi gani cha upuuzi anaweza kufanya ili kumfurahisha mpenzi wake. Usishangae mkuu
 
Wewe na jamaa yako wote wap.u.m.b.a.v.u mnoo. Mtu kamdharirisha dada yako dume zima badala ya kupigana unageuzia lawama kwa dada yako. Bure kabisa ww
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaa tuu yaani
pole sana mkuu bt umenikumbusha mbali sana... niliwahi kuona picha ya dada angu akiwa kapiga uchi na mshkaji wake mwili ulipata ganzi kulingana na alivo mpole na mtaratb...
sikuwahi mwambia bt kila napomtizamaga hua siamini kama kweli ndo alifanya upumbavu ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii inatokana na wewe mwenyewe unavyowatendea mabinti wa watu ndio maana umefikia hatua ya kuona mtu kuwa na uhusiano na dada yako anakukosea heshima. Watu wazima wawili wakikubaliana kuingia kwenye mapenzi kuna ubaya gani hadi wewe ikuume kiasi hicho? Labda huyo dada awe under 18 au mwanafunzi naweza kukuelewa
Mimi mwenyewe nimeona ajabu kiasi na kwanza rafiki yangu akitoka na sister angu hiyo ni red card.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
So baada ya kukuonyesha hayo yote hapo hapo kwa jamaa ulichukua hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii inatokana na wewe mwenyewe unavyowatendea mabinti wa watu ndio maana umefikia hatua ya kuona mtu kuwa na uhusiano na dada yako anakukosea heshima. Watu wazima wawili wakikubaliana kuingia kwenye mapenzi kuna ubaya gani hadi wewe ikuume kiasi hicho? Labda huyo dada awe under 18 au mwanafunzi naweza kukuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeenda personal kama unaijua life langu, punguza kuwa judgemental

Kiufupi sina sister mdogo kwangu na kama rafiki yangu akitoka nae bhasi inanipa picha kubwa ambayo huwezi kuielewa. Let alone kunionesha hivyo vitu zao live
 
Mkuuu na wasi wasi na wewe hivi ni Dada yako kweli au ni binti wa jirani na kwenu ni ngumu sana kama kaka MTU unionyeshe video ukimbandua Dada yangu tena topeni halafu nikuache salama ni ngumu sana yaani damu yangu Nina wasi wasi Wenda ni jirani yako Huyo na kama ni Dada yako jua kama kuna siku umejidhalilisha ni Leo kwa wanajamii forum mambo mengine hutaki kuomba ushauri unafanya maamuzi magumu kama kaka mtu ata wazazi wakisia wanajua kweli tumezaaa dume si tulitegemea utuletee habari kuwa unakesi polisi kwa kumchakaza huyo rafiki yako aliyekudharau wewe na Dada yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF badala ya kuwa platform ya kufarijiana, kushauriana na kubadili tabia ovu, matokeo yake kimekuwa kichaka cha kuchochea uovu, lugha za matusi, kukatishana tamaa na kuzidi kuwaponda mioyo wale waliokwisha vunjika mioyo,

Kuna vitu vinahitaji busara ndogo sana lakini mmeishia kuwa watu wa dhihaka na matusi..!

Nakionea huruma mno kizazi kilichopo mbele yetu kisicho na hatia, kama hii jamii ndiyo ya wazazi wanaokwenda kulea watoto wetu..!

Sijui wa kulaumiwa hapa ni nani, We are doomed..!
 
Back
Top Bottom