Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahi hospitali mapema sana wakupe msaada
 
Unajuwa Kuna mambo mengine huwa napata ukakasi sana kuyatolea ushauri kwasababu yanakuwa na maswali mengi yenye ukakasi hata kuliko huo ushauri ambao mtu anaomba.
Hivi kwanza, inawezekanaje mwanaume mwenzako anaanza kukupa simulizi za dada yako..!!
Yaani anaanzia wapi kukusimulia na wewe msikilizaji unaanzaje kuweza kuvumilia kusikiliza hadi mwisho aiseeee....
Yaani wanaume wa Daslam mnaudhi sana wallah, huyo jamaa kwanza mlitakiwa iwe mshagawana majengo ya serikali yaani wewe jela na yeye ICU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni story ndeefu nitakuja na mkasa kamili where the story was beginning

Mlianzaje kuongea mpaka story zikafika huko. Yani mtu anakuaje comfortable kukwambia kitu kama hicho na wewe ukatulia tulii. Seems ndo story zenu na huwa mnaongelea mabinti wengine. Ndugu anavyouma, mimi ningemtaftia huyo kijana mabaunsa kama 3 wamjames delicious. Huo ni udhalilishaji wa familia, [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila dada anadanga kama wa kwako.

Kama vipi jinyonge mkuu.
Unachukua vidonge kadhaa unakunywa na bia. Unakufa huku unatabasamu.

Jaribu wala hutajutia. Usiache kutuletea mrejesho.

Dumbest reply ever..! Watu kama nyinyi mnaifanya dunia kuwa mahala si salama kwa wengine kuishi. Jamaa, kwani umelazimishwa kukoment

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Ni story ndeefu nitakuja na mkasa kamili where the story was beginning
Mlianzaje kuongea mpaka story zikafika huko. Yani mtu anakuaje comfortable kukwambia kitu kama hicho na wewe ukatulia tulii. Seems ndo story zenu na huwa mnaongelea mabinti wengine. Ndugu anavyouma, mimi ningemtaftia huyo kijana mabaunsa kama 3 wamjames delicious. Huo ni udhalilishaji wa familia, [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaonekana wote ni watoto bado na mnatumia alcohol(-18 yrs), yaani mlianzia wapi,mlikua mnapiga stories gani hadi mfikie stories za sister and the like?hadi akwambie hivo kwamba anakuchukuliaje wewe?,please drink responsibly.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo vipi my... nimependa approach yako japo sidhani kama jamaa ametumia au wametumia kinywaji chochote vinginevyo angeleta Habari ya kumtoa mtu meno ya mbele

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

We na huyo kama yako wote mafala...inakuwaje mpaka mnafikia hatua ya kuambiana upuuzi kama huo...

Pambana na hali yako..

OVAAAA
 
Ninefuta mkuu.
Muda mwingine jaribu hekima itawale sana pale ambapo mwenzako anakuwa ktk mood ya tofauti.

Pia mkuu kwako ungeambiwa habar za mama ungejisikiaje? Kuna wengine mama kwao ndo kila kitu, tumelelewa ktk mazingira ya tofauti.

Umetoa maneno makali ambayo kila mmoja yamemchoma moyoni.

Mungu akurehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa mimi tayar ningekuwa nipo ndani..huyo mwana ningemfanyia plastic surgery kwa kipigo na hiyo simu ingekuwa imeshakuwa screpa...
 
Nyakati za Sasa usitegemee kupata ushauri mzuri kutoka humu Jamii forum tofauti na ilivokua Kipindi Cha nyuma. Utaambulia kejeli tu na utani.

Sasaivi Mambo ya fesibuku yamehamia huku, Kikubwa tutangulize busara mbele wadau. Mtu kaomba ushirikiano wa kimawazo Kama hauna chochote Cha kumshauri Ni vema ukasoma ukaendelea kupitia jumbe nyingine Ila sio kudhihaki.[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF badala ya kuwa platform ya kufarijiana, kushauriana na kubadili tabia ovu, matokeo yake kimekuwa kichaka cha kuchochea uovu, lugha za matusi, kukatishana tamaa na kuzidi kuwaponda mioyo wale waliokwisha vunjika mioyo,

Kuna vitu vinahitaji busara ndogo sana lakini mmeishia kuwa watu wa dhihaka na matusi..!

Nakionea huruma mno kizazi kilichopo mbele yetu kisicho na hatia, kama hii jamii ndiyo ya wazazi wanaokwenda kulea watoto wetu..!

Sijui wa kulaumiwa hapa ni nani, We are doomed..!
Mkuu Carleen natamani JF mods watafute namna ya kurejesha heshima na utu ambao ulikuwepo ktk hii platform.

Zamani ukileta mada Jf hakika unatoka na kitu ambacho kitakusaidia kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom