Kosa kubwa ni kutaka kudhibtisha kama dada yako ameliwa tigo kweli na umeupata huo ukweli. Mambo mengine inatosha tu kusikia kwa maneno sio kuona kwa macho. Sasa hiyo picha utadumu nayo mpaka kifo haitakutoka. Ingawa hata hivyo naona stori ina uongo ndani yake. Hakuna mtu yeyote anayeweza kukuambia wazi kuwa amemla dada yako kwa sababu kila mtu anajua huwa kuna kisasi mbele. Sasa ndio ije kuwa kumla tigo? Labda huyo dada ako ni kichaa na huyo jamaa ni kichaa au huenda na wewe amekuona hujielewi na humuwezi kwa chochote. Na yawezekana ameamua kulipiza kisasi ila myapate maumivu pia. Vinginevyo ni uongoHope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika
Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.
Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo
Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?
Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, kuna wakati unatamani usingekuwa na dada kabisa.
Ushauri mmoja tu maana ishatokea ila kama unaweza kurejesha urafiki na huyo jamaa ako kwa gharama yoyote basi ni kufomati simu yake na si vinginevyo.
Dadako ni mtumwa wa huyo jamaa maisha yake yote, why nasema hivi ni kwasababu dadako akizingua jamaa ataweka picha hadharani.
Ukishindwa kufomati au ukakosa kurejesha urafiki wenu basi mtafute rafiki yake wa sasa awe wa kiume au wa kike muombe afomati simu yake au hata kuibiwa kabisa.
Ombi, usimwambie dadako maana kifo kitamhusu cha kujiua na wala wazazi wasijue . Mtoto wa kiume ni jasiri hivyo fanya mambo kwa ujasiri ila usifikirie kumpiga huyo jamaako au kuua bali fanya mambo kisomi kiasi kwamba asijue what u plan against him. All the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa ni kutaka kudhibtisha kama dada yako ameliwa tigo kweli na umeupata huo ukweli. Mambo mengine inatosha tu kusikia kwa maneno sio kuona kwa macho. Sasa hiyo picha utadumu nayo mpaka kifo haitakutoka. Ingawa hata hivyo naona stori ina uongo ndani yake. Hakuna mtu yeyote anayeweza kukuambia wazi kuwa amemla dada yako kwa sababu kila mtu anajua huwa kuna kisasi mbele. Sasa ndio ije kuwa kumla tigo? Labda huyo dada ako ni kichaa na huyo jamaa ni kichaa au huenda na wewe amekuona hujielewi na humuwezi kwa chochote. Na yawezekana ameamua kulipiza kisasi ila myapate maumivu pia. Vinginevyo ni uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una moyo wa bati. Mwingine angeshaua makaka wengi hawapendi ujinga kwa dada zao.
Duuh, Kuna majibu humu.[emoji25][emoji19]Tengeneza yako ya kufarijiana.
Unataka tupangiane maisha even under anonymity?
Ndii hisia zetu as real humans tunazionyesha humu.
Aisee chaliang nashindwa hadi kukushauri maana hapa nilipo natetemeka kwa hasira maana hiyo kitu chalii wako alokufanyia ni dharau ya kiwango cha lami bro
Ni true stories masta au maana inauma kinyama man alafu unakuta deilee unamuona sister hapo maskani daaaahhh hiyo kitu siyo rahis kusahau man
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi wakati mwingine nasahau hata jina langu😀Pole Mkuu. Majukumu hayaepukiki hayo.
Umezingua sana mkuu, mama yake amefikaje kwenye huu uzi tena? Heshima haiuzwi banaJamaa kazingua saana...anatakiwa atuombe radhi wanaume wenye dada....anatakiwa akodishe mguu wa kuku.