Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

Moyo wangu unavuja damu naombeni ushauri

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu taratibu mkuu, maongezi yalianzia wapi mpaka mkafikia kumuongelea dadaako? Inaonekana hamna mipaka, ndio maana anaweza kukuambia hayo na kukuonyesha hadi picha akifanya hayo na dada yako. Know your limits!
 
Hope mko salama
Wadau jana nilikua na jamaa angu mmoja tulikua tunapata moja mbili mara gafla mazungumzo yakabadilika

Akaanza kuniambia sha mfi**ra dada yako mara kibao na alishatoa mimba zangu kibao daah kidogo nikate moto aisee nikambishia akaniambia subiri damn akanionyesha picha za sister akimla tigo na video nilichoka pombee ikakataa siwezi kusema mengi naishia hapa.

Ukimuona dada yangu ni saint yuko humble but kumbe ni mchafu saana na anaonekana yuko do decent but hayupo hivo

Msaada wadau nimwambie au ninyamazee?

Nataka nivizie simu ya jamaa nii formats yote maana baade inaweza kuleta shida.
Moyo wangu umejeruhiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu mkuuu wewe unaroho ya China haswa mi nadhani mpaka sasa ningekuwa rockup sio kwa ngumu ambaxo tungechapana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah

Daaah.!! Aisee.!Chaliangu umezingua sana muombe radhi jamaa.
Jamaa kazingua saana...anatakiwa atuombe radhi wanaume wenye dada....anatakiwa akodishe mguu wa kuku.
 
Back
Top Bottom