Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Hata staki kuiona tena. Naiona live kila kona ninayotembelea manake tafauti ni bidhaa tu inabadilika lakini theme ni ile ile. Unajua saa zingine hadi aibu ukikuyana na watanzania wenzio walivyo na hali ngumu na wewe unaenda kuangalia rasilimali yao. Unaona jinsi ambavyo elimu yako inatumika kuwakandamiza. Usiniamshe ulcers kaka.
Mike McKee anayo. Mwambie akupe
 
Last edited by a moderator:
Movie ya amistad ilinifanya niwe racist hadi leo. Ilipotoka tutulienda kuiangalia na ragiki yangu mmarekani mweusi ambae mmoja wa mababu zake ni survivor wa ile trip ya meli. Tulilia throughout the movie while holding hands. Niliongeza interest kwenye black history. Cnn documentaries za ubaguzi wa south africa ziliniharibu kichwa kabisa ninabreak down na kulia. Pamoja na mibhange im very emotional na kwenye movie nyingi hasa uonevu wa maskini na unyanyasaji wa mwanamke.

Parsuit of happyness nayo iliniliza na kunifanya nimchukie yule mwanamke. Not wiyhout my daughter made us cry (na mamangu and my sisters miaka hiyo). Switched at birth nayo haikuwa rahisi kwangu. Slumdog millionnaire made me shout to the screen.
 
Wewe unafaa sana kuangalia Movie na mimi. Nakuhakikishia utakuwa na mtu wa uhakika kukufuta machozi
na bega la kuegama. I swear hutajuta!
 
"Final Destionation 5" Pale yule Dada aliyevunjika Kiuno akibembea. Lile tukio ni hatar sana. Itafute. Uione. Ila kama una ugonjwa wa Moyo sikushauri uitazame kabisa. Ina Matukio ya Kutisha sana.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..

1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..

2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..

3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..

4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..

5. JOHN Q

6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..

7. Black Hawk Down

8. Blood Diamond

...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..

....umewahi kuijua au kuiona " laila majnun" ?
Achaaaa ! 3hrs movie !

...........Rango pale chura alipokuwa anafukuzwa na mwewe ! ........yaani ...awa watu wa animation sijui wanwazaga nini !!?
 
Tafute picha ya karibuni tu, inaitwa 'Babel' amecheza mume wake Angelina Jolly !
Kali sana na inasikitisha sana ! Aaaaaah ! Sijui niwaelezee !
Hivi kuna aliyeiona Pappilon ?
Itafute Babel kwa msisitizo !
 
My Love,filamu ya kinaijeria hakika ilinitoa machozi,sichoki kuiangalia muvi hii.vaadhi ya wasanii waliohusik;
1.Chiege Alisigwe
2.Ramsey Nouh
3.Emeka Ikhe
 
Five minarets in new York,inasikitisha sana mwishon ni sheh aliyekamatwa kwa kufananishwa na gaid,

janwaar amecheza akshah kumar ni ya kihind

With light imechezwa uganda

300(three hundred),not without my Doughter,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hotel Rwanda, Wakati ule wimbo wa Wyclif Jean ulipoimbwa pale mwishoni wakati yule mama kawaona wale watoto wa kaka yake aaliyeuwawa I just cried so much.....
 
Escape from Sobibor!

watched over five times ndio nikaimaliza, nilikuwa nikifika pale wanashushwa train station then wazee wanabebwa kwenye matela wanapelekwa kwenye tanuru, nabofya stop ...eject narudisha kwenye kasha naenda kufanya kitu au shughuli yoyote tu nijisahaulishe.

not without my daughter pia very touching,... neria, hotel rwanda, persuit for hapiness, ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom