Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

ILIYO NI hii ya kinigeria inaitwa BILLIONAIRE CLUB hiyo chezea pesa za kuua wewe kidonda cha hatari hii move kwangu wacha tu
 
Dina,
Hiyo ya mama aliyetafuta wa kuwaachia wanawe inaitwa "who will love my children"

QUOTE=Dina;6059928]Kongosho nikumbushe vizuri, Not without my daughter ni ile ambayo mama alikuwa aliolewa somewhere ambapo alitakiwa kurudi kwao sijui, ila akatakiwa kuondoka yeye bila mtoto? kwa hiyo akawa anafanya jitihada za kumtorosha?

Hiyo ninayo-fumble fumble na title, ni mama aliyekuwa na watoto wanne or watano, na alikuwa anaugua kansa. Madaktari walishamuambia kuwa ana miezi kadhaa ya kuishi, kwa hiyo ndani ya hiyo miezi alikuwa anatafuta familia ambazo zingeweza kuwatunza watoto wake while she's gone. Mpaka amebaki hoi bin taaban, bado mtoto mmoja hakuwa amepata pa kumuacha, sasa hapo pa yeye kuamka on her death bead na kuendelea kuzunguka kutafuta pa kumuacha, ndio paliponishinda.....
[/QUOTE]

Nimekupata, asante kwa kuniwekea kumbukumbu sawa....though sikuweza kuiangalia yote, labda nitajaribu kuitafuta tena, though ni ya kitambo kidogo.
 
mi nying sn zimeniliza..Nelia,not without my daughter,hamza khanoon..nyiiing..nyingne ata majina nimesahau
 
Infact sio kunitoa machozi but ni movie ambazo zimewahi kunisikitisha sana

1. Everybody's Baby the rescue of Jessica Mcclure
2. The green mile
3. The way back
4. The boy in the striped pyjamas
5. After shock
6. Rules of Engagement
7. Saving private Ryan
8. A day in Iraq: American Soldier
9. We were soldiers
10. Nightmare on Elm street
11. Behind enemy line

hizi ni kati ya best movie zilizowahi kunisikitisha sio zote lakini ziko nyingi

nimeona baadhi ya hizi, hii ya A day in Iraq nayo kiboko..jamaa waliwekwa mande si mchezo...sasa ukipata na ya black hawk down ndo balaa..walipanga operation ya dk 30 tu matokeo yake wakajikuta wanalala huko huko huku wamebanwa mbaya..wasomali wanakuja vitani familia nzima...baba akipigwa risasi akifa mtoto ananyanyua mtutu wa baba anasonga mbele...
 
ILIYO NI hii ya kinigeria inaitwa BILLIONAIRE CLUB hiyo chezea pesa za kuua wewe kidonda cha hatari hii move kwangu wacha tu

Movie hii ya Billionaires Club ni fundisho kubwa sana kwa watu hapa Tanzania kwa sasa.
Watu wengine wanadhani kuna short-cut za kupata utajiri na kuwa mabilionea !!
Movie hii ni funzo kubwa sana kwa watanzania wanaopelekeshwa na tamaa za utajiri wa haraka-haraka.
Movie hii ingeonyeshwa mara nyingi kwenye TV za Tanzania, watu wasingedanganywa na mabango kama haya hapa chini...
Waganga-wazidi-kuongezeka-Hii-ni-Mwenge-jijini-Dar-es-Salaam-leo.jpg
 
Stonning of Soraya...Dahh nilitaka vunja screen niingie ndani nikatoe kichapo..Nilikuwa na huzuni kwa siku nne(Almost wiki)
 
Not without my doughter imechezwa na Sarah field Mmarekani aliyeolewa na Muiran wakiwa hukohuko Marekani. Baadaye Muiran akarudi kwao yeye na familia yake ya mtoto mmoja.

Kufika kwanza uwanja wa Ndege anakutana na Askari wanaolinda maadili ya kidini 'Mutawa', na kutaka kumkamata kwa sababu amevaa kichwa wazi (tofauti na desturi za Kiislam). Kimbembe alipofika nyumbani na kwa bahati mbaya Ndugu wa Mume wakawa hawampendi. Na zaidi ya hapo wakaanza kumuona kikwazo kwa Kaka yao kwa sababu kun wakati badala ya kuamka na kuswali Swala ya adhuhuri yeye anapiga mbonji.

Hapo kivumbi kikaanza ndugu wa mume wakimtuhumu Mkwe na zaidi ya hapo na manyanyaso yakaanza pia kutoka kwa Mume, ndipo akapanga mpango wa kutorokea ubalozi wa Marekani akisaidiwa na baadhi ya Wairan vilevile.Ilikuwa hatari kweli..........!

Endelea kuitazama..........................

NB: Hii filamu ilipigwa marufuku Iran.

Nitaipataje..
 
Parsuit for happiness,john Q,amdha kanoon,stoning of soraya,Hatya-Yaya-govinda,karz.a cry for help,all things fall apart by 50 Cent.Damn it me ndo mama ya movies kuna nyingi kibao nimeziona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom