BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
TITLE:MAISHA YA BONGO
MAIN ACTOR:20%
YEAR:2011
LOCATION:KIBADA
kuna dogo alitumia jina la NEEMA. d a a a h! alintoa chozi. . . . .
Hata 20% mwenyew alifunika mbaaaya.
Na yule Mama Neena ndo akamaliza kabisa machozi yangu. . . pale alipokuwa anajifungua Neema. . . dah. hatari sana.
Dah! Hapa kweli mkuu, yaani mtunzima nililia mpaka makamasi yananitoka.
Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2