Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,040
- 10,218
The Price (Nigerian movie - Richard Mofe Damijo), Suicide Mission - (Richard Mofe Damijo na Regina Askia), Johari part 1 and 2 (Vicent Kigosi, Kanumba na Binti wa Chagula), Sarafina.
muvi zuri sana hii pia ingawa haikunitoa machozi..Escape from Sobibor!
The Passion of Christ
Not without my daughter
Kumbe na hii ilikuwa ni movie ilichezwa
Duh! Sitaki tena hata kuiangalia,machozi yanaanza kunilenga kwa huo mwanzo wako tu.Kongosho nikumbushe vizuri, Not without my daughter ni ile ambayo mama alikuwa aliolewa somewhere ambapo alitakiwa kurudi kwao sijui, ila akatakiwa kuondoka yeye bila mtoto? kwa hiyo akawa anafanya jitihada za kumtorosha?
Hiyo ninayo-fumble fumble na title, ni mama aliyekuwa na watoto wanne or watano, na alikuwa anaugua kansa. Madaktari walishamuambia kuwa ana miezi kadhaa ya kuishi, kwa hiyo ndani ya hiyo miezi alikuwa anatafuta familia ambazo zingeweza kuwatunza watoto wake while she's gone. Mpaka amebaki hoi bin taaban, bado mtoto mmoja hakuwa amepata pa kumuacha, sasa hapo pa yeye kuamka on her death bead na kuendelea kuzunguka kutafuta pa kumuacha, ndio paliponishinda.....
Hii ilitaka kuniulia mama yangu,wakati akiendelea kuiangalia mara chali!! Presha juu,mbio hospital hajitambui,baada ya hapo hataki kuangalia hata taarifa ya habari.
No iliimbwa tu mkuu.
Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..
1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..
2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..
3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..
4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..
5. JOHN Q
6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..
7. Black Hawk Down
8. Blood Diamond
...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..
Kongosho nikumbushe vizuri, Not without my daughter ni ile ambayo mama alikuwa aliolewa somewhere ambapo alitakiwa kurudi kwao sijui, ila akatakiwa kuondoka yeye bila mtoto? kwa hiyo akawa anafanya jitihada za kumtorosha?
Hiyo ninayo-fumble fumble na title, ni mama aliyekuwa na watoto wanne or watano, na alikuwa anaugua kansa. Madaktari walishamuambia kuwa ana miezi kadhaa ya kuishi, kwa hiyo ndani ya hiyo miezi alikuwa anatafuta familia ambazo zingeweza kuwatunza watoto wake while she's gone. Mpaka amebaki hoi bin taaban, bado mtoto mmoja hakuwa amepata pa kumuacha, sasa hapo pa yeye kuamka on her death bead na kuendelea kuzunguka kutafuta pa kumuacha, ndio paliponishinda.....