Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥
Kwa ufupi tu kuhusu hii simu mpya 👋
📸 200MP Camera
🔭 Hadi 100x Zoom
⚡ Chip ya kizazi kipya ya Snapdragon 8 Elite Gen 6
🧠 Software update and security kwa Miaka 7.
❄️ Mfumo mpya wa cooling kwa matumizi mazito na gaming 🎮
✨ Muonekano wa premium unaolenga soko la flagship
Samsung Galaxy imepata mpinzani mwingine wa kuangalia! Kwa makini 👀🔥 Je, unafikiri Motorola Signature 27 inaweza kuwa tishio kubwa kwenye soko la flagship? 🤔📱
#MotorolaSignature27 #Motorola #BongoTech255 #TeknolojiaNiYetuSote