Samsung kuachana na Android

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,796
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋.



Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱

Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:

✅ 🤖 AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
✅ 📱 Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
✅ ⚡kurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.

Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.

Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android 😀 au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako ✍️.

#bongotech255
 

Attachments

  • ef70234b850fb735fe59a8c9943ad7c3.jpg
    ef70234b850fb735fe59a8c9943ad7c3.jpg
    60.7 KB · Views: 1
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋.

Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱

Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:

✅ 🤖 AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
✅ 📱 Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
✅ ⚡kurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.

Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.

Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android 😀 au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako ✍️.

#bongotech255
 

Attachments

  • 6adb211465554cd99d8fbcb79f263309.jpg
    6adb211465554cd99d8fbcb79f263309.jpg
    23.7 KB · Views: 1
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋.

Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱

Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:

✅ 🤖 AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
✅ 📱 Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
✅ ⚡kurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.

Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.

Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android 😀 au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako ✍️.
 
Hajaanza leo hamu yake ya kuwa na OS yake.Aliwahi kuwa na Bada OS akatoa simu kadhaa kama series ya Samsung Wave baadae akahamia Android na kuanza series ya Galaxy . Kitu kigumu kwenye bishra ya simu ni kuwa na successful OS kitu ambacho mkampuni mengi yameshindwa. Nokia aling'ang'ana na Symbian yake mwishowe alifutika kabisa sokoni.
Samsung Wave ya Bada OS
 

Attachments

  • bada.jpg
    bada.jpg
    14 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom