๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,796
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹.

Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ

Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:

โœ… ๐Ÿค– AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
โœ… ๐Ÿ“ฑ Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
โœ… โšกkurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.

Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.

Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android ๐Ÿ˜€ au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako โœ๏ธ.

#bongotech255
 
Angalia vyanzo vyako, probably hiyo ni rumours tu but Android ni part and parcel ya Samsung, no android no Samsung...Hiyo ni vita sio vichekesho, Korea kusini haina uwezo au uthubutu wa kuchukua hatua hiyo dhidi ya US.
 
Shida sio kutengeneza OS .Umepanga bajeti hipi kama madeveloper wa Apps,mifumo mipya programming ambayo itaweza kwenye OS yako.

Sio kila OS inaweza kufikisha malengo.Ndio maana IOS,windows na android zimeweza pakubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom