technews

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗼𝗰𝗵𝗶 𝗬𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝟭 😀

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥 Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. 😮‍💨 📱 Kwa nini MP02 ni ghali? 🤑 Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 — takribani TSh milioni...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗨𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗣𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗣 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔👀📱

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥 Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗕𝗬𝗘 𝗕𝗬𝗘 𝗤𝗥 𝗖𝗢𝗗𝗘 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗜𝗠𝗘𝗜𝗢𝗡𝗗𝗢𝗔 👀

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu → Messages → Device Pairing → Scan QR Code → Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoni… tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi. Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. 😅💻 Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! 😂🔥 Enzi zimebadilika...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃 Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! 🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja ✨ Gemini...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗼𝗻𝘆 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗨𝗸𝗶𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮 𝗚𝗮𝗺𝗲𝘀 𝗼𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲 🎮

    PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. 😱💳 Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. 🤑🎮...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗫 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗣𝗼𝘀𝘁𝗶 𝘇𝗮𝗸𝗼 🫡

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔 Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘇𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗮 𝗹𝗼𝗰𝗸 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗳𝗮𝗰𝗲 𝗜𝗗 👤

    Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. 😳 Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗮𝘁a𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗠𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗜 𝗠𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮🧑‍🦯

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥 Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀 Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝘀

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. 👀 Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗼🔋📱

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Whatsapp Kuzuia chati zako

    Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮‍💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: 🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani 🌘

    🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.” marke Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀 Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗧𝘃 𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗪𝗶𝗳𝗶

    Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako 👋. YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv. Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗡𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗲

    🍎 Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni 👊. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. 🤯📲📲 Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 📱𝗨𝘀𝗶𝗱𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗲 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗰𝗼𝗱𝗲 *#*#𝟰𝟲𝟯𝟲#*#*!

    🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. 📶 ⚠️ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃. China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...
Back
Top Bottom